Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge.
Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA wanaishi kwa hofu na mashaka kama mashetani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Upande wapili vijana wa UVCCM ni shangwe tu kila kukicha.

Sasa nyie BAVICHA sikieni niwaambie, furaha inaongeza umri wa kuishi, CCM ni chama chenye furaha ndio maana kimeshika dola kwa miaka zaidi ya 50 na kinadunda tu.

Fuatilia utajua vyama vya upinzani vinajiua kwa manung'uniko kila kukicha.

Msalimieni DJ Gambe yeye ndio mtu pekee mwenye furaha huko Ufipa wengine wote ni huzuni tu.
 
Hivi icho kikundi kinachojiita Bavicha ni kikundi gani...?kundi halina hata kadi...genge la wahuni.
 
Mwanaume uko CCM tena kijana kwakweli nakuona kama demu wangu Suzy mwenye Gonorea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ