Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
5,266
2,000
CCM ina uhaba wa vijana wenye akili ndio maana Rais akipata vijana wanaohamia CCM anawapa madaraka!
 

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,239
2,000
Misukule huwa haijitambui wala kujali na nyie vijana wa chama zee mpo hivyo hivyo watu wa mserereko na ukiwaangalia ni watu wa kanda flani flani.
Na kweli hawajitambui, kwani licha ya kupiga kelele miaka mitano, hata ukatibu tu wa chama hayapewi, ila wapinzani waliokuwa wanayatukana sana, ndio utakuta mala wanateuliwa kuwa, manaibu waziri, ma dc, mala DED, yenyewe yamekaa tu na hayaumii!!!
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,977
2,000
Kweli mna furaha sana!
¶Mnajipindua samasoti kwa raha zenu.
¶Wazee wenu wanakuna Nazi kufurahisha watawala.
¶Mnakula sukari guru na wazee wenu na wakishtuka wanawatumbua tuu lakini nyie mnaendelea kufyatua kimya kimya.
Kwa nini mkose furaha?
IMG_20200616_081814.jpg
IMG_20200616_081830.jpg
IMG-20200628-WA0016.jpg
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,977
2,000
Furaha ya UVCCM iko juu kweli

 

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
516
500
Hata mwalimu alipokuwa akidai Uhuru kutoka kwa mkoloni,hakuwa na furaha kwasababu alikandamizwa na kuonewa na watawala ,wakati yeye yeye na wenzake wakikosa furaha wapo waliokuwa na furaha sana kwasababu ya mapochopocho waliyokuwa wanayapata kutoka kwa wakoloni,vijana wengi wa CCM hata akirudi mkoloni leo watakuwa upande wake kwasababu wanachoangalia wao ni maslahi yao tu na si ya nchi na vizazi vyao,Vijana wa chadema wanafuata nyayo za Nyerere wanatafuta haki na usawa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom