Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364

fiesta, ngono, ulevi ndio vinawabamba halafu baadae wanalalamika serikali haiwafanyii kitu. lets change with the world men!

Kama fiesta ni vyote hivyo serikali inampango gani?

fiesta, ngono, ulevi ndio vinawabamba halafu baadae wanalalamika serikali haiwafanyii kitu. lets change with the world men!
Sugu alikuwa sahihi kupiga marufuku huu upuuz huko jijin Mbeya.

Kakubore we2 kaongea ukwel m2pu

mnawaza fiesta 2 hamna vya mana afu mnalialia

Piga kimya...!

Kasema ukweli mtupu,yan wanafunz wa tz mambo ya kipuuzi ndio wanajua,mf.kile kipindi cha skonga cha Eatv,madenti wakiulizwa maswali ya msingi hawajui kabisa,wanajiumauma tu,ila pale mwshon kwny kuchagua nyimbo zinazotamba ndio utawaona vizuri.

Tz yetu sasa yaendeshwa na malumbano kuliko vitendo je tuseme ndo mwisho wakufikiri?

watachangamkaje wakati english yenyewe ni ya ...i was,..i is...iam going yesterday....tujifunze this language of her majesty ndio tunaweza kucompete na waganda na wakenya,..hautasahau kiswahili chako kwa kujifunza hii lugha yao

Sasa kama ndio ukweli wenyewe mlitaka aseme nini?

big up man, mawazo chanya hayo lugha pia ni kikwazo katika ushindani.
Hapa yapo maeneo mawili ya kuyaangalia
Kwanza : Serikli ilitakiwa iandae mazingira mahususi kwa vijana ili kuweza kukabili soko la EA ,sasa utashangaa viongozi wanwalaumu vijana (wananchi) wakati mikakai mahusus haipo ya kumwezesha huyu kijana ku-overcome hizi challenges! mfano mmojawapo ni elimu mbovu inayotolewA na mitaala yetu mashuleni kuanzia pr. hadi vyuoni, huku wao wakiwapeleka watoto wao nje ya nchi kupata elimu bora.
Pili: Vijana wanatakiwa waamke kisiasa kubadilisha serikali iliyopo maaaana inaonekana sio sikivu kwa kelele zote hizi zinazopigwa ,tufanye mapinduzi kuweka serikali itakayojali maslai ya taifa kwanza na sio mtu mmoja mmoja.
Kweli Vijana wa Tanzania wanaweza Fiesta tu.
Mfano si tumeona wakati wakupiga kura wamejitokeza wazee tu, lakini kwenye Fiesta mpaka nafasi zikakosekana vijana walivyokuwa wengi
hiyo ni kweli kabisa vijana wengi wanwaza upuuzi kama fiesta, nini umuhimu wa fiesta katiaka maisha ya nchi kama hii ambayo kila mwaka ni bora ya mwaka jana, wafanya biashar wanatumia uwezo mdogo wa vijana wa TZ kufiliria ili kupata ela. just wait hard life is gaining its momentam under ccm gvnt.
Sitta is an intrepid character and never misses his words, however, relating youth indolence with FIESTA was rather uncorrelative comparison.
Wewe umeelimika? habu tupe maana ya neno hilo nililokuwekea nyekundu, na ni neno lipi hilo?
Hayo mashirikika ya nje si yanadili na serikali yetu?Wanawachukulia hao kama reflection ya wananchi.Viongozi wangekuwa honest,basi mashirika na makampuni hayo yasingefanya wanavyofanya.Wanapiga deals na serikali wanaijuwa inside out ilivyo chafu.WAKUU KINGINE CHA WATANZANIA KUTO KUAMINIKA NI WIZI.
- WATANZANIA NI WEZI SANA, MIMI NITATOA MFANO WA MASHILIKA KADHAA.
1. Worldvision ni shilika la kimataifa ni linaoperate katika nchi nyingi sana na hata kenya lipo,Hili shilika huongozwa na Raia wa nchi husika yaani Mkurugenzi mkuu wa Worldvison Tanzania au Kenya razima awe mzawa. But kwa Tanzania imeshindikana kisa wizi wameamua kumuweka mkenya kama sikosei ndo Directa wa Worldvison Tanzania
2 Kuna mashirika kibao ya kimataifa c tayataja majina ambayo Kaimu Mkurugenzi wa mashirika hayo katika nchi husika lazima awe Raia wa hiyo nchi but Mengi ya hayo mashirika na NGOs za kimataifa imeshindikana kuwaweka wa Tanzania kisa Wizi.
3. Ukiona Makampuni mengi yanaajiri wahasibu na wafanya kazi wakigeni c kwamba watanzania c competent no ni wizi. watanzania wanaaminka kwa kuiba.
4. Wafanya kazi wakitanzania wanaofanya kwenye mahoteri ya kitarii ukienda nyumbani kwakwe utakuta glass, vikombe, mataoro, mashuka na kazalika vyenye nembo ya hotel hapo ndo unaishiwa nguvu,
WIZI NAO NI SABABU KUBWA SANA, MADREVA WATANZANI WANAPIGA NYOKA MAFUTA C MCHEZO NA HIVI SASA HATA MADREVA WANATOLEWA KENYA.