ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,961
hiyo miwani na hayo maneno maana yake nini? AMKA WEWENa ndiyo maana mimi siwazimii kabisa viongozi wetu,yani bure kabisa,na hawawezi kukwepa lawama.Nani kawaambia wawe viognozi kama hawajui maana halisi ya kuwa kiongozi?Waelezee ni mipango gani ama hatua gani ambazo wameshawahi kuzichukua ili kuliondoa tatizo hilo na hapo ndo hutapata jibu.Ila ikija kwenye maneno ya kihuni hao ndo namba moja.Huwezi kupewa madaraka na wananchi halafu ukashindwa kuwapa mwongozo na badala yake unawalima vijembe kana kwamba wao ndo wanawatumikia ninyi viongozi badala ya nyie viongozi kuwatumikia wananchi.Nchi hovyo kabisa na viongozi ndo wamesababisha.