Vijana wa Lumumba, ni nani Kawadanganya Marekani kuna vyama viwili vya siasa?

sema vyama vyenye wafuasi wengi ni viwili
is that too hard to take?
Hakuna unachojua wewe. Wana vyama zaidi ya thelathini, nyie mmekariri story za kwenye vijiwe tu
Tuambie vilivyokuwa registered, je ni viwili tu? Usitake kuchanganya akili za watu kwa kutwambia mambo ya independents wakati vilivyo registered ni zaidi ya thelathini.

Tabu yenu mnafikiri watu wote ni wajinga tu wa kudanganywadanganywa.

Hapo juu ni wamarekani wenyewe wanavyouita mfumo wao wa vyama. Si ujinga hata kidogo kusema US is a two party system of democracy.
Nasisitiza, si ujinga ni kawaida na utaeleweka vizuri tu. Tafuteni points za maana, you guys are starting to sound so politically bankrupt.
It's saddening actually. Lets debate on real issues, cos you got good points on them.
 
Back
Top Bottom