MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,549
- 24,159
Mkuu umenena kweli tupu kabisa..Mkuu,tunapojaaliwa watoto tuwe makini kuwapa majina.Na vilevile,tuwakanye watoto wetu kujipa majina hata kama ya utani,yasiwe yanaakisi uhayawani.Maneno au majina huumba uhalisia.
La nyongeza kidogo...kama wewe ni mkazi wa hapo Dsm au hata nje ya Dsm jitahidi sana kutoa tahadhari kwa kizazi chako kutokupita Mtaa wa Lumumba karibu na ofisi za haya majamaa ili kuepuka kuambukizwa ujinga..
Watu wanaelekea kwenye utaahira pale Lumumba sasa ivi.