Vijana wa kiume na pesa

Vijana wa kiume na pesa

Nooo jiran wala cna shaka naww, ngoja nitoke kwanz kuna mdau ameshanilibia mood yangu kabisaaa

Sio "kualibia" ni "kuharibia" kuandika hujui kazi kudai equal rights shame on you women. Wanawake bwana akili zero hata kuandika tu tabu afu mnakejeli wanaume wakati nyie wenyewe mmechukua nafasi zao.
 
Hahahahahahahaah!!!!

Next time nkitaka kumkopesha mwanamke yeyote yule ntamwambia mimi sina, ila ngoja ninae rafiki yangu anaitwa Atoto Nkuchkulie kwake. Akisumbua tu kulipa ntakuwa nakushtua. Kiufupi uwe yono investment wangu halafu unakata commission yako huko huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal.

Sasa hebu tuanze na mimi kwanza hako kamkopo.
 
Umewekewa mada, jadili mada. Hizo attacks zinaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
Au ndio mdaiwa?
Sio mnafiki tu pia mjinga, limbukeni, pumbavu, boya, taahira, kahaba mpenda kuhongwa wakati anadai haki sawa, fala,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal.

Sasa hebu tuanze na mimi kwanza hako kamkopo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

You just said "deal"

Kwa hiyo wewe ni debts collector wangu sasa utajidaije hapo baadae???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

You just said "deal"

Kwa hiyo wewe ni debts collector wangu sasa utajidaije hapo baadae???
Nitajitahidi nami nijidai tu partner. Usijali nitajidai na nitalipa vizuri kabisa maana hata sauti ya kulegeza sina[emoji23]
 
Umewekewa mada, jadili mada. Hizo attacks zinaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
Au
e.

Attacks are legit to wranked minds. Kuna maelekezo by hard learning nadhani hujui hilo kajifunze
 
Nitajitahidi nami nijidai tu partner. Usijali nitajidai na nitalipa vizuri kabisa maana hata sauti ya kulegeza sina[emoji23]
Hahaahahahahaaaaah

You know your own ways sio?? Haya bhana.

Consider it done!
 
Me siwezi kumkopesha mtu pesa labda nimpe tu
 
Sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu aikosi watu wenye tabia tofautitofauti,kuhusu kukutana kwani wewe huna rafiki humu?
Kwenye mkusanyiko wa watu kuwepo na watu wenye tabia tofauti tofauti hapo sina mashaka napo, paliponishtua ni hapo kwenye kukutana hapo.

Marafiki ninao, kama Hazchem plate ila hapo kwenye kukutana ndio kupyaaaa
 
Back
Top Bottom