Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Unatutukana????Sikuhizi wanaume wamegeuka magumegume na wameukataa uanaume wao na asili yao Pia wanatamani mpaka waanze kwenda mp ili tufanane vizuri, mungu awasaidie tu
Unatutukana????Sikuhizi wanaume wamegeuka magumegume na wameukataa uanaume wao na asili yao Pia wanatamani mpaka waanze kwenda mp ili tufanane vizuri, mungu awasaidie tu
Acha masihara mwanaume asili yake ni kutoa ukimkopa analipa
Ila mwanamke sidhani kwakweli ukimkopa jihesabie maumivu
Kwahiyo ukihongwa naww unahonga c ndio...
Hapo hujahonga mkuu pesa ya kuhonga inabidi iwe yko ulioitolea jasho, yaan unayoa ppesa huku inakuuma sasa unapewa laki mbili na shga mumy unanakutana mpz wako unampa elfu50, hapo hujaonga mmegawana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni kweli lakini shida ni pale mdada anapoanza kulegeza sauti wakati wa kulipa
Hahahahahahahaah!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawalegezea nyie jinsia tofauti, sisi tunalipana vizuri tu.
Sio mnafiki tu pia mjinga, limbukeni, pumbavu, boya, taahira, kahaba mpenda kuhongwa wakati anadai haki sawa, fala,Wewe ni MNAFIKI.
Lakin uliwah kutumia c ndioSumahani madamu me Facebook niliacha kutumia 2008
Me sihongwi nampiga pesa tu, tena kwa sifa ananipa atm nikadraw naona balance kibao imebak kwann nisiendelee mpiga?? Maisha matam haya ukiyawezea lkn
Kabisaaa mkuu, hongera kwa ufaham mkuuVijana wa Siku hizi hawajafundishwa yale tuliyofundishwa sisi wakati wa Mwalimu Nyerere na hata dini zetu.
Nyerere alisema "Pesa siyo msingi wa maendeleo bali ni matokeo yake"
Neno la Mungu linasema." Ipende kazi kuliko pato lake"
Sasa hivi haya hayazingatiwi kuanzia kwenye ngazi za familia , shule za msingi hadi chuo kikuu.
Wakati wa Mwalimu Wanafunzi walikuwa hawapewi mikopo bali hugharamiwa kwa kila kitu na kupewa posho kidogo.
Wakitoka Chuoni hupewa mishahara ya kawaida ila kufidia gharama za kuwasomesha.
Sasa hivi Watanzania wanatofautiana sana kwa kipato hata kama wanalingana elimu.Kwa hiyo aliyeko chini naye anataka aishi sawa na yule wa kipato kikubwa na anaona uchungu kuona mwenzake ambaye wana elimu sawa anapata mshahara na marupurupu mengi wakati yeye anateseka kwa kipato kidogo.
Atatumia kila mbinu ili mradi apate pesa.
Hata ww jiran angu wa Barbara za namba unaniambia hivyo jaman, sasa unataka niwapige kibesi atuumbwa hivyo jamanHili ni kweli lakini shida ni pale mdada anapoanza kulegeza sauti wakati wa kulipa
hv unanijua vema! mimi ndiye tajiriIman sina mkuu, hao matajir wenyewe hawagawi bure wanakupa kaz ufanye ndo upate pesa, sasa nyie vijana tabia hiyo ya kupenda kupewa buree bila kutoa jasho mmeitoa wap
Hata ww jiran angu wa Barbara za namba unaniambia hivyo jaman, sasa unataka niwapige kibesi atuumbwa hivyo jaman
Nooo! Nlimaanisha Sisi wanaume tukiwakopesha wanawake matatizo yanaanza pale tunapodai halafu wakaanza kulegeza sauti.Hata ww jiran angu wa Barbara za namba unaniambia hivyo jaman, sasa unataka niwapige kibesi atuumbwa hivyo jaman
mnalalana nini nyie watu wa haki sawaDaaah yaaah unajisifia unahongwaaaaa, kwnn lakin nyie vijana mbona wanaume mnapotea kwa kasi sana tunabak na vijana wanao tupasua vichwaaaa
wanaume wa wapi hao?Sikuhizi wanaume wamegeuka magumegume na wameukataa uanaume wao na asili yao Pia wanatamani mpaka waanze kwenda mp ili tufanane vizuri, mungu awasaidie tu
ahahahaa. huyo mwenzio kazidiwa na mihemko ya kuwananga me, sio bure huyo, yamkini kuna mwanaume kamsingo mazaMp tenaa, umefika mbali mkuu
Nooo! Nlimaanisha Sisi wanaume tukiwakopesha wanawake matatizo yanaanza pale tunapodai halafu wakaanza kulegeza sauti.
Hivi jirani una mashaka na mimi kweli???
hivi huwa mnakutana wapi na hao wanaume omba omba?Mwanaume anayeombaomba anakera