Vijana wa kiume na pesa

Vijana wa kiume na pesa

Mie naona bora pesa umkopeshe mwanamke kuliko mwanaume, wana shida sana kwenye kurejesha.
Acha masihara mwanaume asili yake ni kutoa ukimkopa analipa

Ila mwanamke sidhani kwakweli ukimkopa jihesabie maumivu
 
Wakuu hbr za w,keend!

Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?

Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?

Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa

Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha

Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm

Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa

Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu

Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
hii imekaa kama inatoka kule republic of Facebook
 
Kwahiyo ukihongwa naww unahonga c ndio...
Hapo hujahonga mkuu pesa ya kuhonga inabidi iwe yko ulioitolea jasho, yaan unayoa ppesa huku inakuuma sasa unapewa laki mbili na shga mumy unanakutana mpz wako unampa elfu50, hapo hujaonga mmegawana mkuu
Nipo naowaonga pia, ngoma drow
 
S
Wakuu hbr za w,keend!

Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?

Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?

Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa

Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha

Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm

Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa

Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu

Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
Si hua mnadai haki sawa nyie sasa ummalia lia nini pumbavu mmeyataka wenyewe wacha wawachune.
 
Back
Top Bottom