Vijana wa kiume na pesa

Vijana wa kiume na pesa

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
998
Wakuu hbr za w,keend!

Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?

Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?

Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa

Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha

Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm

Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa

Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu

Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
 
Wewe ni MNAFIKI.
 
Nakushauri kitu 1 ukizingatia hautapoteza tena rafiki wala ndugu usimkopeshe pesa rafiki wala ndugu nawe pia usipige mzinga maana itafika hatua unahitaji haki yako mtu anakuona mbaya ama kuna muda umemmis tu kwa vituko vyake unatamani kumpigia umsalimie mpige soga kdg ukija kukumbuka kwamba unamdai unajishtukia anaweza hisi nakumbushia hela kumbe sio umemmis tu ama ww uliwahi kumtumia mesej kuomba pesa akakausha asijibu mesej yako masiku yakapita ikawa yalishaisha siku umemmis tu unapiga anashindwa kupokea anahisi unataka hela so simple usitoe hela kwa matarajio ya kurejeshewa nawe pia usiombe pesa urafiki na udugu utadumu daima!
 
Tangu enzi mwanaume amezoeleka kutoa mahitaji kwa mwanamke ikiwemo pesa, Mara tu suala la uchumi kutafutwa na wote na sasa kumilikiwa na wanaume na wanawake, ndio maana ktk transition hii tuliyopo mwanamke anashangaa imekuwaje!! - its normal
 
Wakuu hbr za w,keend!

Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?

Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?

Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa

Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha

Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm

Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa

Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu

Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
Haki sawa ni pamoja na hiyo, tupeni pesa.
 
Utanimiliki vipi pesa hauna na unataka wa kukukojoza?
 
Sijaona sababu ya kumblock rafiki yako hapo kwa kumdai, inawezekana anataka kukulipa lakini mambo ni mengi. Sasa akitaka kurejesha hela yako atawasiliana vipi na wewe ushamblock? Kuna baadhi ya marafiki ushauri wao una thamani ya mamilioni lakini wanakupa bure.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom