Vijana wawili tu imetosha kuhitimisha kuwa vijana wanapenda kuhongwa???
U can't be serious!
Dada unalalama kwa 100k na 30k?? Mwenzako ndani ya 3months nshamla zaid ya 7m na hata hana habr mke wa mtu mtarajiwa ananimwagia cash tu. Soon nadaka ndinga
Dada unalalama kwa 100k na 30k?? Mwenzako ndani ya 3months nshamla zaid ya 7m na hata hana habr mke wa mtu mtarajiwa ananimwagia cash tu. Soon nadaka ndinga
Fact mkuu, nimeichukua hiiNakushauri kitu 1 ukizingatia hautapoteza tena rafiki wala ndugu usimkopeshe pesa rafiki wala ndugu nawe pia usipige mzinga maana itafika hatua unahitaji haki yako mtu anakuona mbaya ama kuna muda umemmis tu kwa vituko vyake unatamani kumpigia umsalimie mpige soga kdg ukija kukumbuka kwamba unamdai unajishtukia anaweza hisi nakumbushia hela kumbe sio umemmis tu ama ww uliwahi kumtumia mesej kuomba pesa akakausha asijibu mesej yako masiku yakapita ikawa yalishaisha siku umemmis tu unapiga anashindwa kupokea anahisi unataka hela so simple usitoe hela kwa matarajio ya kurejeshewa nawe pia usiombe pesa urafiki na udugu utadumu daima!
Wewe ni MNAFIKI.
Kwani ni mwanaume huyo?[emoji134][emoji134]
Kila mtu akomae na pesa yake basi hivyo tu.pesa uleta uadui kwa mtu asiestaarabika
Urafik upo inategemea mtu na mtu, na jins mnavyoelewana na damu zenu kuendana kuna best angu mmoja nimempotezea ila bado nampenda sna nikikumbuka vituko vyake nammiss sna ila ndo hivyoo pesa imeleta uadui kat yetuHakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke labda useme hao wote ni ma x wako
Ni tabia ya mtu tu, maana hata sisi tunafanyiwa hivyo hivyo sema tunakausha tu.
Sema hela ya mwanamke inamuuma sana.
Iman sina mkuu, hao matajir wenyewe hawagawi bure wanakupa kaz ufanye ndo upate pesa, sasa nyie vijana tabia hiyo ya kupenda kupewa buree bila kutoa jasho mmeitoa wapukitaka urafiki mwema, usikopeshe bali kama una imani gawa buree
Dada unalalama kwa 100k na 30k?? Mwenzako ndani ya 3months nshamla zaid ya 7m na hata hana habr mke wa mtu mtarajiwa ananimwagia cash tu. Soon nadaka ndinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujawaona wengine hapa na comment zao?
Kwan mpaka nikupe pesa ndo unikojoze ww c umenipenda, kila mtu akae na pesa yke tusiombane.Utanimiliki vipi pesa hauna na unataka wa kukukojoza?