Vijana wa Hong Kong ni balaa

Vijana wa Hong Kong ni balaa

Hahahahahaha eti Hong Kong Wana Shida, Tanzania hatuna Shida hebu jiulize tena ndugu yangu kati ya Tanzania na Hong Kong Nani anashida, kwa kweli ndugu yangu bdo uko usingizini unaota amka ndugu

Kwani kwa kuwa Hong Kong wana maisha mazuri, ndiyo unataka kuniaminisha kwamba hawana shida?

Shida wanazo, tena Tanzania tuna afadhali
 
Kwani kwa kuwa Hong Kong wana maisha mazuri, ndiyo unataka kuniaminisha kwamba hawana shida?

Shida wanazo, tena Tanzania tuna afadhali
Sio kweli, mwenye maisha mazur huwezi kulinganisha na mwenye maisha mabovu ukweli wenzetu hawataki udikteta cc kwetu tunamuogopa mpaka inzi mchafu wa kijani haina maana hatuna Shida tuna Shida Sana kuliko hao Hong Kong
 
Tuanze na we we hapo: una shida gani?
 
Kuandamana...ni pale unapoona huna cha kupoteza....Kama una kazi(shughuli inayokuingizia kipato) ,una familia inayokutegemea,una miradi unayoiendesha...naamini huwezi kuandamana...ila kina sisi tusio na kitu ndo tunakuwa front line (sacrificed) kuleta changes.
 
Hivi ww nikikuaeleza Shida zangu utaweza kuzitatua?

Wewe umesema una shida na utawala uliopo.

Kwa hiyo swali langu, limetokana na maneno yako.

Una shida gani na serikali?
 
Wewe umesema una shida na utawala uliopo.

Kwa hiyo swali langu, limetokana na maneno yako.

Una shida gani na serikali?
Kwa ufupi Shida ni nyingi Sana kuanzia democrasia hakuna maisha mabovu kila mtu analia njaa ajira hakuna viongozi wamekwama Hawajui wafanye nn kubwa kwao kununua wapinzani, ajira hakuna, sekta ya afya imeoza yaani hayo ni machache tu kwa ufupi tunahitaji mabadiliko ya hali ya juu
 
Serikali hailimii wananchi maana haina mashamba, kwa hiyo ni wajibu wako kulima na au kufanya kazi kupata chakula.
Ajira, ndugu yangu hata Ujerumani na USA hazijaweza kuajiri watu wao wote. Kinachofanyika ni serikali kuweka mazingira wezeshi ili watu waweze kujiajiri katika kazi mbalimbali.
Serikali ya Tz inajitahidi kupitia halmashauri kutoa mikopo isiyo na riba kwa makundi ya vijana, wanawake na wenye ulemavu.
Hill la huduma za afya kwamba ni mbovu, umesingizia tu. Huduma za afya ni bora na bado zinaboreshwa.
Hilo la democracy, ni kwamba Tz tunafanya uchaguzi kila baaada ya 5 years.
Sasa sijui democracy gani unazungumza.
Mengine hapo ni uzushi tu.
Ukweli ni kwamba usipofanya kazi ni lazima utafute pa kutupia lawama.
Fanya kazi acha kufikiri yasiyo tija
 
Nadhani ungekua nje ya Hawa wakoloni weusi ungenielewa lkn wakati ww ni mmoja wao katika hao wanyonyaji huwezi kuelewa kitu hongereni Sana wakoloni weusi, ila kumbuka hili no longer at is end
 
Kama unadhani amani hamna, mbona huondoki?
Mbona huandamani?
Amani na utulivu upo ndiyo maana huondoki na huandamani.
Wote wanaokimbia nchi zao wanakimbia vita na njaa..
Tz hamna vita wala njaa. Ndiyo maana upo hapo ulipo
Mkuu acha kubishana na hayo mazombie ukweli umeshawaambia achana nayo.
 
kusanya wenzako mnao hisi mnashida andamaneni usitake uungwe mkono kwa shida zako binafsi
 
Nadhani ungekua nje ya Hawa wakoloni weusi ungenielewa lkn wakati ww ni mmoja wao katika hao wanyonyaji huwezi kuelewa kitu hongereni Sana wakoloni weusi, ila kumbuka hili no longer at is end
Utasubiri sana aisee.
Serikali ni ya CCM na imepewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi.
Sasa kama wewe unajidai mjuaji basi Fanya fujo dhidi ya serikali halali.
Ushauri tu: Fanya kazi achana na mawazo potofu eti serikali ikuletee chakula na pesa mfukoni
 
Kama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na maamuzi yanayokuwa yakitolewa na Bunge hilo! Sasa najiuliza hivi Tanzania na hawa vijana wetu wanaoshinda kutwa kucha kugombea Likes na Followers Instagramu na kupiga umbea usio na manufaa wana uwezo wa kufanya mtiti kama huo??
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.

Nawasilisha!View attachment 1144132View attachment 1144133View attachment 1144134
Kuna ile Mutu pale Dodoma Inaitwa Afande Muroto inawatu wake inavaaga kofia nyekundu halafu inavuta Bhangi mingi sana sijui inakulaga mawe yaani nilipigwa rungu moko nilizinduka nikiwa ile hospitali inaitwa general halafu nimefugwa na kinyororo mikono yote.Sitokaa nithubutu tena .Yaani nikiona tu Ile mutu hata kwenye TV nazima haraka sana.Nasema bora waniite natafuta followers Instagram kuliko ile rungu ya kiuno.
 
Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?

Hong Kong wana shida zao na serikali zao.

Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?

Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.

Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Inabidi tukupime mkojo. Hii kitu ya kusema watu wafanye kazi inachukuliwa kisiasa sana na mwisho wake sio mzur
 
Back
Top Bottom