Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,457
- 5,325
Kama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na maamuzi yanayokuwa yakitolewa na Bunge hilo! Sasa najiuliza hivi Tanzania na hawa vijana wetu wanaoshinda kutwa kucha kugombea Likes na Followers Instagramu na kupiga umbea usio na manufaa wana uwezo wa kufanya mtiti kama huo??
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.
Nawasilisha!
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.
Nawasilisha!