Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,576
Ukipigwa risasi utakuwa umekufa kishujaa.Ukumbuke Hong Kong siyo Tanzania. Tanzania wanakupiga risasi au kukuteka kweupee halafu hakuna kesi.
Ukipigwa risasi utakuwa umekufa kishujaa.Ukumbuke Hong Kong siyo Tanzania. Tanzania wanakupiga risasi au kukuteka kweupee halafu hakuna kesi.
Ha ha ha ha haUkipigwa risasi utakuwa umekufa kishujaa.
😀😀 Kweli ni bora kufanya mambo mengineHa ha ha ha ha
Siyo kwa nchi za wafrika. Nina mambo mengi sana ya kufanya acha nipambane na hali yangu.
Sudan nako wako vzr na sisi muda si mrefu JPM kaza buti kila kona tukose pakuhemea tukilipuka tutaelewananila na mm naomba tusifike huko japo sina namna ya kuzuiaKwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Sudan nako wako vzr na sisi muda si mrefu JPM kaza buti kila kona tukose pakuhemea tukilipuka tutaelewananila na mm naomba tusifike huko japo sina namna ya kuzuia
Hee kumne mm naomba machafukoMuda unaotumia kuomba dua la machafuko, ungekuta umeshaboresha maisha yako kwa kufanya kazi halali
nankama yatokea mm ndo muathikia mkubwa maana sina pakukimbilia nitarudi nyuma ssna kimasishaHee kumne mm naomba machafuko
nankama yatokea mm ndo muathikia mkubwa maana sina pakukimbilia nitarudi nyuma
😂 😂 😂 😂 😂 😂Tanzania maandamano yao nyuma ya keyboard,jukwaa la siasa huko hadi panachosha.
VumbapuKwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Ungekua karbu ningekulipa kifurushi cha mweziHa ha ha ha ha ha
CCM Stars keshalia huko Misri. Ametekeleza ilani ya CCM kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi. Samatta naye badala aiwakilishe Tanzania anamwakilisha magufuli na serikali ya awamu ya tano. Matokeo yake
2-0
3-2
3-0
Wakwetu wako busy na dent kupata vocha za bureKama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na maamuzi yanayokuwa yakitolewa na Bunge hilo! Sasa najiuliza hivi Tanzania na hawa vijana wetu wanaoshinda kutwa kucha kugombea Likes na Followers Instagramu na kupiga umbea usio na manufaa wana uwezo wa kufanya mtiti kama huo??
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.
Nawasilisha!View attachment 1144132View attachment 1144133View attachment 1144134
Una akili sasa mkuu?Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Inaonekana ww mlaji mzuri wa mirungi ndo hata ushauri wako wa kijinga. Ivi kama vijana wote wakihama nchi zao itakuaje mbeleniWAZO LAKO NI ZURI KUHUSU VIJANA KIMAPINDUZI AU MABADILIKO NA MAENDELEO ILA KWA MFANO WA KINACHOENDELEA CHINA TENA HUKO HK NI JAMBO LA HOVYO KAMA UHUNI MWINGINE UNAVYOTEKELEZWA DUNIANI. NAWAONEA HURUMA SANA WAKIPOTEZA MDA NA MWISHONI NAHISI WATAAMBULIA KUBAYA TU NA KUTOFANIKISHA LA MAANA. IT'S A MATTER OF TIME MAMBO KUWA SAWA KAMA MAIN LAND CHINA WALIVYOSUBIRI KUKABIDHIWA JIMBO LAO NA WAINGEREZA. MWAKA 1989 VIJANA KAMA HAWA AMBAO NI WAZEE SASA ALIPATA TABU SANA NAKUAMBULIA PABAYA, KWA HAO VIJANA NA MAKUNDI TOFAUTI WASIO PENDA YANAYOENDELEA NCHINI KWAO WAELEKEE MATAIFA MENGINE TU.
umetia nia ya kugombea uenyekiti? lakini kumbuka ni lazima kuwa na wanachama zaidi ya 50 ili kumuunga mkono jiwe..Kama unadhani amani hamna, mbona huondoki?
Mbona huandamani?
Amani na utulivu upo ndiyo maana huondoki na huandamani.
Wote wanaokimbia nchi zao wanakimbia vita na njaa..
Tz hamna vita wala njaa. Ndiyo maana upo hapo ulipo