Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,257
- 2,983
Mbona kama unaomba pooo?Tuvumiliane kabisa, maana mambo ni mengi muda ni mchache TUVUMILIANE SANA.
Mbona kama unaomba pooo?Tuvumiliane kabisa, maana mambo ni mengi muda ni mchache TUVUMILIANE SANA.
Acha unafiki mkuu usijifanye hujui matatatizo ya serikali na vijana ndio nyie nyie kina Bashite mnaodhulumu haki za watu wanyonge
Sijaona ndiyo
Unabishana na madogo wanaoishi kwa mashemeji!Ndo maana nilisema acha ujinga otherwise ungeshaona.
Unabishana na madogo wanaoishi kwa mashemeji!
Acha uboya wewe. Huyaoni yanayofanywa na serikali zetu dhalimu kwa wananchi. Utakua li-CCM limoja. Pumbafu!Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Acha uboya wewe. Huyaoni yanayofanywa na serikali zetu dhalimu kwa wananchi. Utakua li-CCM limoja. Pumbafu!
Ndo maana nilisema acha ujinga otherwise ungeshaona.
Watoto wa vigogo naoPUMBA!
Matusi hayatakuasaidia.
Ni bora hata ukajadili the legal way forward badala ya kutoa povu
Haki ya Mungu mlaaniwe mnaoikumbatia na kuitetea CCM mnakera. Sitaki hata kujibu formally. Maana mnajifanya vipofu hamuoni.Mambo gani hayo?
Kama unahisi kuna jambo halipo sawa, kuna forum za malalamiko.
Bobu Chacha Wangwe kaenda mahakamani kulalamika kuhusu Wakurugenzi kusimamia uchaguzi na akashinda.
Sasa kwanini msiige mfano wake?
Mpompo tu mnalalamika badala ya kuchukua hatua kisheria.
Kimsingi, ukilalamika pembeni huko nyumbani na vijiweni haitawasaidia.
Huo ndiyo ukweli
Haki ya Mungu mlaaniwe mnaoikumbatia na kuitetea CCM mnakera. Sitaki hata kujibu formally. Maana mnajifanya vipofu hamuoni.
Teh teh teh naona dozi imekuingia vizuri.
Hahahahahaha eti Hong Kong Wana Shida, Tanzania hatuna Shida hebu jiulize tena ndugu yangu kati ya Tanzania na Hong Kong Nani anashida, kwa kweli ndugu yangu bdo uko usingizini unaota amka nduguKwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Kwa hyo unasema hakuna watanzania waliokimbia Tanzania na kama jibu wako kwa hyo tz Kuna hakuna utlivu na Kuna njaaKama unadhani amani hamna, mbona huondoki?
Mbona huandamani?
Amani na utulivu upo ndiyo maana huondoki na huandamani.
Wote wanaokimbia nchi zao wanakimbia vita na njaa..
Tz hamna vita wala njaa. Ndiyo maana upo hapo ulipo