Vijana wa Hong Kong ni balaa

Vijana wa Hong Kong ni balaa

Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?

Hong Kong wana shida zao na serikali zao.

Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?

Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.

Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Ndiyo vijana wa bongo hao, eti hawana shida... So sad...
 
Mimi siandamani kwasababu hakujawahi kuwa na hoja za kuandamana.
Kama yatatokea maandamano yasiyoitishwa na wanasiasa wanaogombea madaraka huenda Nitaandamana.
Ukisikia maandamano Huku Tanzania hoja huwa sijui kuna wanasiasa wameibiana Kura mara kuna mgombea kanyimwa fomu.
Hayo yatakua maandamano ya wanasiasa na vyama vyao maana siasa ni ajira na wanapigania ajira zao yanakua maandamano ya vikundi vya Watu Wenye upeo mdogo na watu wajanja wenye upeo mkubwa waliowabrainwash wajinga wapiganie maslahi ya wajanja mjini.
Siku tutakayopata vijana wanaitisha maandamano huenda tutashiriki Ila sio haya ya wazee wanasiasa wanaogombaniana madaraka kwa kuwatumia vijana wajinga.
 
Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?

Hong Kong wana shida zao na serikali zao.

Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?

Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.

Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Jinga lingine hili hapa!

Punga la mtandaoni
 
Wana wa Adam hawajawahi kuridhika, tangu Eden
 
Kama unadhani amani hamna, mbona huondoki?
Mbona huandamani?
Amani na utulivu upo ndiyo maana huondoki na huandamani.
Wote wanaokimbia nchi zao wanakimbia vita na njaa..
Tz hamna vita wala njaa. Ndiyo maana upo hapo ulipo

Kweli wewe zezeta
 
Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi

Mnama umeniabisha sana.
 
Back
Top Bottom