kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,116
Heheeeiya
Unafikiri nani analijaza hao malimbukeni na mazuzu? Sisi tuliozaliwa Ocean Road hatujawahi kubebwa na fasheni...kazi kwa wakuja toka Kongwa na MvomeroNilishasema mimi jiji la dada limejaa malimbukeni na mambumbu.
Sasa mmezaliwa ocean ndio time imewapita. Sisi wa dot com mtuache. Nyie mmezaliwa enzi zenu mlikua na ipad, mlikua na laptop, mlikua na sehemu za kudaka mtumba ukautupia kwenye kibegi? mlikua na headphone za kuweka kwenye kibegi? mlikua na usb za kuweka kwenye kibegi? Sometimes tunapachika chupa za maji besides vibegi....enzi zenu mambo hayo yalikuwepo? Tunaweka kalamu, notebooks, books, magazines, rough rider packets, chewing gums, handkerchiefs. Pambana na hali yako.Unafikiri nani analijaza hao malimbukeni na mazuzu? Sisi tuliozaliwa Ocean Road hatujawahi kubebwa na fasheni...kazi kwa wakuja toka Kongwa na Mvomero
hongera wewe una PCtubebe zile 'kariakoo' mifuko ya rambo ndo tuweke PC zetu eti eee!!
Sio kuiga, hizo head phones kubwa zinapiga muziki mtamu sana full mkito, so kama huna ishu za kuongeleshana na watu unavaa hizo unachomeka memory card yako unakula muziki.Wanasema ni swaga,mi nawashangaa wanaotembea njiani wamevaa headphones zile kubwa masikioni na begi mgongoni kama zile za wacheza mpira wa mamtoni.
Wanaiga sana
Kuna mwingine niliona ameweka deki chakavu ya SUMSUNG ili ionekane kama laptop, sasa nikawa naona hiyi laptop kila siku hatoi, kuna siku nilasema ngoja nichungulie, nilichoka!
😆😁Natembea nalo sana tu
Nimecheka hatariiiKuna mwingine niliona ameweka deki chakavu ya SUMSUNG ili ionekane kama laptop, sasa nikawa naona hiyi laptop kila siku hatoi, kuna siku nilasema ngoja nichungulie, nilichoka!
Kuna hii ya kuvaa vikaputura juu ya magoti hadi wazee wa mitumbo na vitambi nao wamo.Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.
Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
Wanabeba mabengi ili kuepuka kuibiwa na vibaka wa Kariakoo, Mfano unaenda kununua nguo au simu kariakoo lazima uwe makini utajikuta huna simu wala wallet au ukitaka kugombania daladala vitu vyako vinakuepo kwenye begi huwezi kuvipoteza tofauti ukiwa navyo mifukoni.Ushamba ni kuzurura na begi kutwa nzima na ndani hamna kitu, wengi wao hawajui kwa nini wanatembea na Vibegi mgongoni.
Ubebaji wa begi, unategemea na shuhuri zako za kila Siku, Kuna watu wanauza bidhaa kubeba mkononi, hawa ngumu kuliepuka begi, kuna mtu akienda ofisini, kuna vitu vidogo vidogo huvibeba na kurudi nyumbani, huyu atahitaji begi.Katika kitu kilinishinda ni pamoja na hicho na ile kubeba bag alafu umevaa mkanda mmoja mgongoni yaani nakereka balaa
Haya Mwerevu msisahau na Sabuni ya Kujichukulia Sheria mkononi ndo mnapoanzia Ushoga huku mje kuliwa kibogaAcheni ushamba hilo beg ni personal package ,unaweza weka ipad,gadgets yoyote ile ,vitabu hata condom because its safe