Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

Mie nilifikiri kijana wangu ana problem anaweza kutoka na begi halina kitu simu na headphone mkononi siku moja mama jirani alinuuliza eti mkwe wangu anasoma tuition? nilikosa la kujibu.
 
Mimi nadhani wew unayeshangaa watu kubeba mabegi ndo mchamba, kila mtu ana uhuru wake kufanya kitu anajisikia kama havunji sheria. Tanzania tupo watu wengi sana na tunaongezeka, huwezi kuwa na life style ya kufanana na uwezi kulazimisha maisha yawe kama ya jana na juzi.
Natamani kuona ukikimbizana na muda kutafuta pesa na kufanya kazi yako kwa ufanisi kuliko kuanza kushangaa watu wanaobeba mabegi eti wanaweka nini , sijui mtabadilika lini
 
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na kitu kingine cha ziada ndani nilichoka sana.

Binafsi naona kama ni ushamba fulani hivi ambao vijana wanalimbukia bila kujielewa.
nimecheka saaaaana mkuu wote hadi wazee wanabeba vibegi wamekuwa wanafunzi dsm mobimba
 
Wengi ni ubradhaduu tu, kwan huchunguzi mabegi yenyewe wanabana mikanda kibegi kinapanda juuu.. yan wanajiona wasafiri (rejea: begi mgongoni, na ramani ka mzugu: mwana fa)

Japo tupo tunaowekea vitu vya maan espsecially wanavyuo na wafanyakazi . mfano ukiniona na begi tu mgongoni ujue ndan yake kuna laptop na document za ofisi.
Wenzio ni ubrazaduu ila wewe unabebea laptop na docs za ofisi?!! Na mwengine nae anakuona brazaduu anajiona yeye peke yake ndio anabebea vitu vya maana.
 
Mie nilifikiri kijana wangu ana problem anaweza kutoka na begi halina kitu simu na headphone mkononi siku moja mama jirani alinuuliza eti mkwe wangu anasoma tuition? nilikosa la kujibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mambo ya daslam bhana kuigana tu,utakuta kabeba maji ya mia 2,acheni sisi tubebe majembe
 
Wenzio ni ubrazaduu ila wewe unabebea laptop na docs za ofisi?!! Na mwengine nae anakuona brazaduu anajiona yeye peke yake ndio anabebea vitu vya maana.
Sawa. Lakini kiukweli wengi ni ubradhaduu tu. Hakuna cha maana kibebwacho
 
Sawa. Lakini kiukweli wengi ni ubradhaduu tu. Hakuna cha maana kibebwacho
Mimi huwa wananikera tu kwenye mwendokasi! Mtu kalibeba begi mgongoni halafu anapita katikati yenu matokeo yake libegi linawapa bughudha!
 
Wanabeba Pedi itakua, si unajua tena wanaume wa dar.
 
Nakumbuka kipindi niko chuo ndio hiyo style nayo ikawa imeanza..kila unaepishana nae chuo ni hayo mabag hadi wadada mimi kilaptop changu nilikua naweka kwenye handbag sikutaka shida..hyo mibeg kwangu mzigo kwakweli
 
Huu mchezo ulipotea naona umerudi tena sasa hivi wanavaa vibegi vidogo vya mkanda mmoja alafu wanaviposition kwa mbele. Ukibahatika kuvifungua utacheka hadi ufe.
 
Sioni kosa kubeba Kwani vitu vyako ukiweviweka humo vinakuwa na usalama zaidi....
Ila wpo wengine wanabeba mabegi kwa swaga tu

Ova
 
Hawa wazee wamepitwa na wakati. Sisi tunabeba pc zetu....popote kazi. Naingia mgahawani...nafanya analysis za forex. Napiga hela. Narudi job.
 
Mbona nyie watu wa mikoani mkibeba majembe mabegani hatuwaulizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom