Kama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413
No Reforms,No Election...Amani iendane na Haki...Nakuunga mkono !
Labda kwa goli la mkono lakin siyo kwa fair challenge..Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
YataKama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413
Yatatafunana mwaka huuKama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413
Ataenda Burundi