Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,919
- 29,113
Watu tunataka kumfurusha huyu mkoloni toka nchi jirani chadema mnakimbia mapambano. Haya kaeni bila uchaguzi tuone kama mkizimkazi ataachia Tanganyika.NRNE ndio salamu ya sasa kwa wapenda haki na watanganyika walio timamu kiakili na kimwili.