UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,145
- 14,387
Ni mwendo wa kupeleka moto hadi watubu,Kuna Uzi mmoja moto umekuwa mkali hadi wameufuta!BIG UP bro.Ndio habari ya mujini hiyo,njama za kura feki naona hizooooooooooo zinaelekea mwisho.
Ni mwendo wa kupeleka moto hadi watubu,Kuna Uzi mmoja moto umekuwa mkali hadi wameufuta!BIG UP bro.Ndio habari ya mujini hiyo,njama za kura feki naona hizooooooooooo zinaelekea mwisho.
Ndio shida yao mm pia kila nikiweka uzi makali wanafuta jamii forum why,hawa CCM lzm waelezwe ukweli.Ni mwendo wa kupeleka moto hadi watubu,Kuna Uzi mmoja moto umekuwa mkali hadi wameufuta!
Wewe wapelekee moto mkuu,hakuna kuonea huruma hao Paka poriNdio shida yao mm pia kila nikiweka uzi makali wanafuta jamii forum why,hawa CCM lzm waelezwe ukweli.
FREE TUNDU ANTIPAS LISSUKama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413
Hivi mnapoaema "No reform, No election" mnamaanisha mama Samia aendelee kuwa rais wa milele mpaka reform ifanyike au? Kama ni hivyo,hii kitu imeanzishwa kiakili au kuna ujinga ndani yake?
Nimefika shemeji yangu na kukaa mbele yako.Shemeji Lucas Mwashambwa unaitwa huku na kaka mkubwa
No reforms no election shemNimefika shemeji yangu na kukaa mbele yako.
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaNo reforms no election shem
Ulivopangwa na ccm, na kusimamiwa na walimu kwa msaada wa polisi au sioUchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Hata uvccm wanayataka mabadiliko hata polisi pia sema ni njaa tu ndo zinawasumbuaKama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaUlivopangwa na ccm, na kusimamiwa na walimu kwa msaada wa polisi au sio
Thubutuuuuu mtapata 0 kama ya lipumba 😂😂😂😂Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima