Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,253
- 26,017
Hakuna wa kuishinda CCM katika sanduku la kuraThubutuuuuu mtapata 0 kama ya lipumba 😂😂😂😂
Hakuna wa kuishinda CCM katika sanduku la kuraThubutuuuuu mtapata 0 kama ya lipumba 😂😂😂😂
Kura za vibegi labdaHakuna wa kuishinda CCM katika sanduku la kura
Sikuhizi mshana na we umekua mchokozi duh!!!Wako wapi hawa? Wasipojitokeza tutajua wazi wanaunga mkonoNRNE
Upi huo mkuuNi mwendo wa kupeleka moto hadi watubu,Kuna Uzi mmoja moto umekuwa mkali hadi wameufuta!
View attachment 3359634Hivi mnapoaema "No reform, No election" mnamaanisha mama Samia aendelee kuwa rais wa milele mpaka reform ifanyike au? Kama ni hivyo,hii kitu imeanzishwa kiakili au kuna ujinga ndani yake?
makamanda wa cdm tujumuike kucheki kavideo hapo chini, ni muhimu sanaKama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
View attachment 3359413

Nasikia mna mbinu 1000Hakuna wa kuishinda CCM katika sanduku la kura
ila chadema?Mbona umekuja pekeyako sasa

Msilazimishe kuungwa mkono na maCCM, kama chadema hamtoshi kutekeleza NRNE hamieni wote chaumma.MaCCM yote yenye kujielewa yanaiunga mkono NRNE.
cheki cdm wakifurahia supu ya damu ya kamanda mwenzao baada ya kumbamiza vitasa vya maana, dah
