sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,044
Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu
Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye pikipiki alipochomwa kisu.
ARUSHA ifike mahali tunapogombana na kushindwa kujizuia hasira zetu, basi zipigwe kavu, Huu mtindo wa kukimbilia kupigana visu sio kabisa, ni ushamba.
Mbaya zaidi ni hata vijana wastaarabu wanapigwa visu, kuna vijana wa Arusha wanapenda sana ugomvi hata wa kuutafuta ilimradi tu kuwe na ugomvi, ukijitetea unaweza pigwa kisu, hata Marehemu Faza Nelly alikuwa ni mwanamziki wa huko alisifika kea ustaarab wake kuishi vizuri na watu lakini kitendo cha kutaka kusuluhisha ugomvi wa majirani akapigwa kisu na kufariki.