Vijana wa Arusha kama Black America

Unazingua tu sijaona pigo zozote za kinyamwezi hapo,
 
Ndio maana masingle mother wanaongezeka kwa kasi kila uchao.

Sasa hao ndio kwako unaona wanaume wa kuanza nao maisha. Wakukule hadi ufike umri wa kuchoka wanakutema wanarudia wadogo zako unakuja kufungua uzi hapa wanaume wa Arusha wote ni mbwa!
 
Ushaona wanugu wanavyovaa au vile unawaona kwenye movies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…