Vijana tuache huu ujinga

Vijana tuache huu ujinga

Huwa nashindwaga kuelewa why mtu anazaa/zalisha na huku hajajipanga.
 
Nasema hivi tusio na watoto hatutaki handicap Kwahiyo singo faza mpambane na hali zenu
Hilo kweli hawachelewi kubebishana tena ukute mzazi mwenzie hajaolewa hapo lazima ujambishwe tu
 
Hapo kutest kama ana uzazi, rafiki yangu aliniambia anataka kutest kama uzazi anao au la!, maana kashapigana za mchangani bila viatu hajashika mimba,
Vipi tayari rafiki yako kashajua kama uzazi upo? Au bado anaendelea kutafuta!
 
Eeeeh kumbe huwa mnaficha???? Ni kosa kubwa sana tena sanaaaaaaaa
Na ninakushauri ukimpenda mdada mueleze ukweli ajiandae kiakili kuliko kumficha then umwambie ukimuoa my dear huyo mtoto hatompenda hata iweje na wewe utakuwa na mtihani kwa kudanganya
Naanzaje kukwambia na mtt
 
Hapo kutest kama ana uzazi, rafiki yangu aliniambia anataka kutest kama uzazi anao au la!, maana kashapigana za mchangani bila viatu hajashika mimba,
Kwa hyo jamaa yeyote sahivi atakae jichanganya peku kwakwe imekula kwake anakuwa baba bila kupenda?
 
Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizii vijana wa mjini kuzaa au kuzalisha alafu Watoto wanawapeleka kwa Bibi akawalelee, Ubaya haya hela za matumizi hawatumi watoto wanaishia kuzagaa mitaani na kuvizia chakula kwa watu akati Baba na mama zao wanapiga umalaya tu na kulewa mjini huku.

Kondomu zimejaa telee huwezi kumuhudumia mtoto ebu jitahidi usimlete dunia na kuanza kuwapa tabu bibi na babu wamekulea wewe kwa shida bado upeleke na wajukuu tena wawalelee?? Huku ni kujitafutia laana pia wazee wamechoka acha wapumzikw kama huwezi kuwa faraja kwao kwa kuwahudumia bhasi at least usiwape Mzigo wasiostahili kuubeba mwisho wakafa mapema kwa shida na mawazo.

Imeishaa hiyo TUBADILIKE.View attachment 1218140
Siyo jambo jema sana,wazazi wamepambana kukufikisha hatua fulani badala ya kuwapumzisha unawapa pia mzigo mwingine,tuwaonee huruma wazazi wetu,kibaya zaidi hata mia hutumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom