Wazazi wapo wapweke inabidi wachangamshwe...mfn mm bibi yangu anapenda wajukuu kuliko wanawe!
Sawa lakini hao hao wazee ndio wanaosumbua kuwa wanataka wajukuu wao wawaone kabla hawajafaKuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizii vijana wa mjini kuzaa au kuzalisha alafu Watoto wanawapeleka kwa Bibi akawalelee, Ubaya haya hela za matumizi hawatumi watoto wanaishia kuzagaa mitaani na kuvizia chakula kwa watu akati Baba na mama zao wanapiga umalaya tu na kulewa mjini huku.
Kondomu zimejaa telee huwezi kumuhudumia mtoto ebu jitahidi usimlete dunia na kuanza kuwapa tabu bibi na babu wamekulea wewe kwa shida bado upeleke na wajukuu tena wawalelee?? Huku ni kujitafutia laana pia wazee wamechoka acha wapumzikw kama huwezi kuwa faraja kwao kwa kuwahudumia bhasi at least usiwape Mzigo wasiostahili kuubeba mwisho wakafa mapema kwa shida na mawazo.
Imeishaa hiyo TUBADILIKE.View attachment 1218140
Ninapo ishi hapa mjini, kuna jirani yangu ambaye ni Bibi na babu mmoja..pia wanaishi na binti yao.huyo binti hajaolewa ila kazaa watoto watano hapo nyumbani kwao.Mazingira wanayo ishi ni magumu mnoo,nyumba ni ile ya kizamani mnoo.ina vyumba viwili,kula yao ni ya shida mnoo.huyo mtoto wao hafanyi kazi yoyote,yaan huyo bibi ndo muhangaikaji wa kuwalisha wajukuu.huyo dada ni kuzaa tu yaani.Inaniumiza mnoooAcha tuu mkuu ukikuta bibi anaishi mjini hata magimbi ya shambani hawezi kupata ni balaa..![]()
Hilo lidada si mlireport walifunge kizazi jamani???? Itakuwa ana matatizo ya akili aiseeNinapo ishi hapa mjini, kuna jirani yangu ambaye ni Bibi na babu mmoja..pia wanaishi na binti yao.huyo binti hajaolewa ila kazaa watoto watano hapo nyumbani kwao.Mazingira wanayo ishi ni magumu mnoo,nyumba ni ile ya kizamani mnoo.ina vyumba viwili,kula yao ni ya shida mnoo.huyo mtoto wao hafanyi kazi yoyote,yaan huyo bibi ndo muhangaikaji wa kuwalisha wajukuu.huyo dada ni kuzaa tu yaani.Inaniumiza mnooo
Tatizo jamii inawapa sana vijana pressure kwa maswali kamaI think people should take responsibilities of choices they make.
Kabisa mkuuZamani vijana walikua wanazaa ili wajenge familia..
siku hizi vijana wanazaa ili watest mbegu kama zina uwezo, vijana wa kike wanazaa ili watest matumbo ya uzazi.
wakishapata majibu ya test zao majukumu ya kulea wanahamishia kwa wengine..
ndo tumefikia hapo.







Aisee, hujui ni kiasi gani nimehangaika kuipata ile picha....yaani nimeitafuta mnoo, kama unajua sehemu ninayoweza kuipata naomba unisaidieOraita!Ombi;Rudisha avatar ya bibie anamnywesha baharia mvinyo kwa gubu.Naipenda sana ile avatar.
Tatizo jamii inawapa sana vijana pressure kwa maswali kama
1. Utaoa lini ?
2. Utaolewa lini ?
3. Una watoto wangapi ?
4. Utazaa lini ?
Kwa maswali ya kifaler kama hayo unakuta watu wanafanya maamuzi yaliyo nje ya uwezo wao ili kuiridhisha jamii inayowazunguka.
Yani mtu usikilize maneno ya watu alafu uje kumtesa mama yakoNakubaliana na wewe kabisa mkuu na sina tatizo na unachokisema.
Sasa ukishafanya maamuzi kwa kusikiliza presha za watu wa nje, jitahidi basi kuwajibikia maamuzi yako mkuu!!!
Watu watapiga kelele tu lakini hawatakusaidia kwa chochote! Mzigo wote unabaki kuwa kwako. Lakini ukilea wanao, nani atakusumbua kwa masimango?


Too bad.Yani mtu usikilize maneno ya watu alafu uje kumtesa mama yakoToo bad.
