Vijana pigeni kazi, tafuteni pesa, acheni makasiriko

Nimegundua Hilo, wengi wao njaa kali sana ila Sasa Kwa kujitia wajuaji, unajua huwezi kufanikiwa Kwa kumchukia aliefanikiwa, vijana pigeni kaZi tafuteni pesa acheni makasiriko! Kuna vijana hapa WAO NDIO UTADHANI WAMEANZISHA JF wanajiona ndio wenye haki ya kupost chochote, vijana tokeni magetoni, tafuteni kazi mpige pesa, na kama mna shida ya michongo kujeni pm tuwape direction.

Haya njoon tena hapo kwenye comment
Umejiunga juzi halafu unaleta ujuaji😡😡😡😡
 
Maisha yangu mimi wewe yanakuhusu nini ?? Mimi kutokuwa na ajira wewe unaumia nini. Kwanza suala la kushinda JF siku nzima ni maamuzi yangu uwezi kunipangia cha kufanya maana hata bando hujawahi kuninunulia so mind your business.
 
Haya tunakuja huko pm utupe hiyo michongo mkuu
 
MKITAKA KIWAJUA INGIENI HAPA WAMEJITAJA WENYEEWE, MIMI NATAKA NIWAPE DEAL WANA WAO WANANITUKANA
 
Maisha yangu mimi wewe yanakuhusu nini ?? Mimi kutokuwa na ajira wewe unaumia nini. Kwanza suala la kushinda JF siku nzima ni maamuzi yangu uwezi kunipangia cha kufanya maana hata bando hujawahi kuninunulia so mind your business.
Hahahah mmeona Sasa?? Nimerusha tuu jiwe mmoja huyu kashapiga yowe Mimi sijataja mtu
 
Nimegundua Hilo, wengi wao njaa kali sana ila Sasa Kwa kujitia wajuaji, unajua huwezi kufanikiwa Kwa kumchukia aliefanikiwa, vijana pigeni kaZi tafuteni pesa acheni makasiriko! Kuna vijana hapa WAO NDIO UTADHANI WAMEANZISHA JF wanajiona ndio wenye haki ya kupost chochote, vijana tokeni magetoni, tafuteni kazi mpige pesa, na kama mna shida ya michongo kujeni pm tuwape direction.

Haya njoon tena hapo kwenye comment
Yani ww una id ishirini unaandika unajijibu, unajijibu unaandika.
Hapo chini chini hizo zote id zako.
 
adriz una kesi huku🤒
Hawa madogo washukuru wameikuta Jf hii ,sasa kama hii wanaona wanayanyaswa ya Zamani wangesemaje ?

Enzi hizo nimejiunga watu walikuwa kama wanachati wenyewe wa wenyewe hata likes zinatoka kwa kujuana ,mtu unamquote akujibu akimquote mwengine wanabebishana huku comment yako kama hawajaiona bado ulete kitu cha kipuuzi utasikia kwani shule zimefungwa ?

Nilivyopata Uexpert na kujua vichochoro vya humu nikawa nalipa kisasi kwa majanki mdogomdogo ola sasa tumewapa uhuru sana watu hawana habari hizo siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom