Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

u

naona unaangalia kwa angle nyingine, ulishawahi jiuliza kwanini hawataki kuoa ?
 
Hapo kwenye mke mwema ndio kipengele.
 
Wanawake weng wa jf ni vibungo na singomaza
 

1 Pet 3:7​

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu;

Kupitia maneno 👆👆👆 ya Petro ni ngumu kumwamini mleta mada kwamba wanawake ni wema labda Kama ni wale wa zamani nasio hawa wa Sasa (feminist) ijapokua sio wote. Ila ukweli ni kwamba wanawake wengi wa sasa sio watiifu napia wabinafsi sana kwa waume zao wa ndoa.

Kuna Uzi mmoja nimeona mpaka video mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

ANGALIZO: kwa hii dunia ya Sasa wanaume wanatakiwa kuishi na hivi viumbe kwa akili sana na kuwachunguza Vizuri mnapokua kwenye mahusiano kabla ya kuingia kwenye ndoa. Maana ndoa sio jambo la kukulupukia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…