jingoloji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 449
- 546
We lazma utakua jitu la bara tu.Sema una meza pana sanaa mkuu.
We lazma utakua jitu la bara tu.Sema una meza pana sanaa mkuu.
na kibuaWali na sambusa na maharage
Ajira ajira ajiraaMdogo wangu siku hizi sikuwezi, umekuwa informer eeh
ongera mkuu!!Allah awadumishie upendo kati yenu ,,aca ma bachelor pov liwatoke u can't compare cakula umepikiwa na wife na ca Restaurants!Raha ya kula hivyo vitu. HeLa utoe wewe.
Duuuh kuna great thinker anaamini mambo ya limbwata [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hilo ndio limbwata!!! akikufunga na misosi akili yako inaishia hapo na anazuga anakuchekea na kukubembeleza kweli!!! ukigeuka tuu!!! umeliwa.
Endelea kuwa gizani ivo ivo yakhe.We lazma utakua jitu la bara tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja nifukue makaburi yangu ya pwani nami nile hiyo necktie [emoji38][emoji38][emoji38]
Chakarika mkuuWa kuolewa ndo hamna
Ha ha ha nafkiri alivipanga kwa ajili tu ya picja.Sema una meza pana sanaa mkuu.
Hapo ni kwenye vigae mkuu angaliaaa vema meza haipoSema una meza pana sanaa mkuu.
Ilikuwa jokes mzeeHapo ni kwenye vigae mkuu angaliaaa vema meza haipo
una akili ngumu sana ya kufikiria kilichokuwa kinaendelea/alichokusudia kusema "ana meza pana"...Hapo ni kwenye vigae mkuu angaliaaa vema meza haipo