Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,356
- 9,484
Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah

Attachments
-
Screenshot_20260530-203504.jpg110.1 KB · Views: 13 -
Screenshot_20260530-203622.jpg121.1 KB · Views: 14 -
Screenshot_20260530-203905.jpg114 KB · Views: 12 -
Screenshot_20260530-203856.jpg95.9 KB · Views: 15 -
Screenshot_20260530-203847.jpg67.7 KB · Views: 12 -
Screenshot_20260530-203838.jpg140.5 KB · Views: 15