donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema una meza pana sanaa mkuu.
[emoji3] [emoji3]Sema una meza pana sanaa mkuu.
Insh'allah ujaaliwe mkuu utimize nguzo muhimu ya kidini hiyoMwaka huu... Inshallah!!!
Ni kweli mkuu ila mkono wa bibie una uchawi wakehahahahahaaaa mbona hvo vitu vya kawaida hata we w unaweza andaa tu
Huyu Mke wa wapi asee? Lazima unenepe hapo
Hahahah, mtu wa mwambao mkuuHuyu Mke wa wapi asee? Lazima unenepe hapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii lunch ama daku?
Safi, Msalimie sana.Hahahah, mtu wa mwambao mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wali na sambusa na maharage