Vijana oeni mpate kula mema ya nchi....!!!

Vijana oeni mpate kula mema ya nchi....!!!

Suala sio kuoa suala ni bajet.....Izo vitu sio ndoa bali ni Pesa mkuu
 
Hongera donlucchese kwa kupata jiko linalokuandalia madikodiko hata ukawashirikisha vijana nao watamani. Japo ndoa ina vitu vingi zaidi ya kuandaliwa chakula, maana hapa RRONDO atasema dada wake wa kazi tena aliyesomea hotel management aka chief cooker anamuandalia msosi mzuri kila siku hivoo kwa sababu hiyo wala hashawishiki kuoa.
Nimekupenda kwa kushukuru anachokuandalia mwenza wako,, ni wachache sana ambao mna moyo wa shukrani hata kama anamaudhi mengine basi akifanya mema unamtunuku mema yake.

Ila aymatu and team mmenichekesha jamani na hiyo meza pana aahahahahhahaa
Mwanzoni nilikuwa sijaelewa baadae sasa nilipoelewa looh nimecheka sana aahahahahahahahaa

Asanteni kwa cheko, donlucchese usikasirike ni utani tuu wa JF hehehehehhehehehee.

Ever Smiling Kasie.
 
Back
Top Bottom