Madla
Member
- Oct 1, 2019
- 61
- 25
Miezi ya mwanzo kabla ya ndoa huwa mnajifanya mko busy na hampatikani kua mnamajukumu ya familia na sababu kama hizo. Baada ya muda mnaanza kusumbua hamtulii nyumbani kwenu mnatulazimisha kupiga story hata zisizo na msingi ili mpitishe muda wa kwenda kwenu.
Mtulie huko huko
Inauma BUT itabidi mzoee
