Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

Ni kweli, si sehemu rahisi hata hivyo lazima upambane kutokana na ulipo.

Mtaji wa pesa hakuna, vipi nguvu au ujuzi? Chamsingi aanze hata kama kwa udogo, kuliko kusubiri huu muda upite bila kuutumia

Nguvu kama Pesa ya kula huwezi kuwa nazo Mkuu.
Ukishakuwa na uhakika wa kula mafanikio ni kuamua tuu.

Lakini kama chakula kinakuzingua. My friend kazi ipo
 
Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?

Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.

Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee
Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?

Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.

Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee?

Ili upate hizo connection inahitaji uingie kwenye mchezo, hazikukuti ndani umelala.
 
Nguvu kama Pesa ya kula huwezi kuwa nazo Mkuu.
Ukishakuwa na uhakika wa kula mafanikio ni kuamua tuu.

Lakini kama chakula kinakuzingua. My friend kazi ipo
Ni kweli, na in your 20s ni kawaida kukosa hela ya kula, chamsingi usikubali kukata tamaa, huu muda sio wa kuchezea.

Heri uanze kivyovyote ilivyo halali, na uupe muda fursa ya kukupa maarifa, connection na fursa tofauti, otherwise utashangaa hali iko vilevile even after 10+ years aisee
 
Wakati nakua niliamini maisha yanaendeshwa kwa jitihada binafsi. Niliamini katika uwezo wangu, akili na juhudi.

Sikuwa mshabiki wa bahati, niliwapinga walioamini kwenye bahati na Mapenzi ya Mungu.

Hiyo haimaanishi simwamini Mungu. Ila siamini katika bahati na miujiza. Ingawaje yapo mambo yaliyotokea kwangu kimiujiza.

Kadiri ninavyozidi kukua naanza kuwaelewa waliokuwa na mtazamo wa maisha ni bahati.
Ingawaje mimi naongeza maisha ni juhudi na bahati
 
Naungana nawe, hata nami nimeona kuna juhudi na kwangu naita "rehema za Muumba", ila naona hata hizi Rehema, zinakupata ukiwa kwenye kujitafuta, unakutana na jinsi fulani ya kupiga hatua ambazo isingekuwa rehema, usingetoboa.
 
Wakati nakua niliamini maisha yanaendeshwa kwa jitihada binafsi. Niliamini katika uwezo wangu, akili na juhudi.

Sikuwa mshabiki wa bahati, niliwapinga walioamini kwenye bahati na Mapenzi ya Mungu.

Hiyo haimaanishi simwamini Mungu. Ila siamini katika bahati na miujiza. Ingawaje yapo mambo yaliyotokea kwangu kimiujiza.

Kadiri ninavyozidi kukua naanza kuwaelewa waliokuwa na mtazamo wa maisha ni bahati.
Ingawaje mimi naongeza maisha ni juhudi na bahati

Maisha ni jumuisho ya yote.
Juhudi/jitihada ya kila kitu unachofanya + nidhamu + bahati (iwe mbaya au nzur). + na watu unaokutana nao on the way up (relationship, family and friends) = Maisha yako ya sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom