mlio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Mlio oa je hii ni kweli?

    Mlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
  2. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao. Tulia; 1. Pata ujuzi (au wazo la biashara) 2. Anza 3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA Utajishukuru ukiwa 32+ (& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

    Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye Early 20's chukueni hii itawaidia sana

  5. R

    JamiiForums Tanzania Mlio Dar, taarifa hii ni kweli by SATIVA

    Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio single huwa mna survive aje kipindi mnaumwa?

    Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura? Au ndio ile ku adapt na mazingira?
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

    Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae. Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ATWOLI: Wanaume mlio na mwanamke mmoja 'Shenzi Zenu'

    Katiku Mkuu wa vyama vya wafanyakazi Kenya - Cetral Organization of Trade Unions Kenya (COTUK)
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

    Maandamano yatafanikiwa kumuondoa Rais Samia na kufanywa wauaji waajibishwe safari hii? Siku yenyewe ndio imefika, ikiwa ni miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, lakini upande mwingine tunasema bado hatujapata uhuru. Bado tumefungwa na minyororo ileile iloyotufunga wakati na wa ukoloni na sasa...
  14. 100 others

    JamiiForums Tanzania Soon Mtasikia Watu Wanatoa Mlio Huko

    Waliokuwa wanasema maandamano ni mikwara ya mtandaoni bado wapo?
  15. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania JWTZ kama na ninyi mmeanza kukamatwa{kutekwa}, je sisi mlioapa kutulinda tutalindwa na nani dhidi ya watekaji?

    Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile. KWENU JWTZ Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Watu Wote Mlio Wema, Msibariki Dhambi

    Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu. Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu? Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...
  17. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  19. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka kwa Mlio Kibaha tafadhali

    Nafika leo natoka Arusha ila nataka nije kulala Kibaha kwa siku 5. Nahitaji mwenye kufahamu Lodge nzuri safi standard kwa bei ya tsh 20,000 mpaka 30,000. Na nyingine ya 30,000 mpaka 50,000. Dereva wangu anataka yake isizidi tsh 30,000. Mi nataka isizidi 50,000. Iwe sehemu yenye parking ndani na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Moles mlio wekeana mwisho utakuwa mbaya sana

    Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa ina manisha nini kwa wasomi wa alama za siri.... Haya mwingine ana endelea ila wengine wana drop on...
Back
Top Bottom