Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Piga chini Huyo ni shetani atakuletea maradhi Kwanzaa amemkosea muumba na tabia ni kama ngozi huu ni ushauri wangu mleviUko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
JE unampenda, unaridhia akikufanzia hivo. kama umemruhusu adi akuingilie labda wapenda kama hupendi achana nae mwanaume akupendae hawezi kukufanyia hvoUko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
sikufanikisha kwa mkuu sweetieleeMtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa
Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
mpe wewe mtaro tu hamna namna hapoUko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
kama jua linawaka kwa mwenzio basi ni jambo la muda nawe litakuwakia. mkanye,mpeleke kwenye maombiSio kama kunifanyia, anafanya nje anakuja kwangu hajawai kugusia na nina uhakika hawezi kuniambia
leo sijamuona kbsa SweetieLee vijiwe vyake vyote wanasema hajaonekanaMtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa
Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
Sina la kushea zaidi ya kusema nina furaha Sana.nawe nadhani unalo lolote la kushea nasi
Haha wanaita caligynephobia au venustaphobia yaani fear of beautiful women unawaogopa watoto wa kike sio wazur sio wabayaWakuu mimi na tatizo kidogo..naogopa sana watu wa jinsia tofauti na yangu. Yaani kupishana na wanawake watatu njiani bora nikutane na mbwa sitaogopa. Ila girls nakua adi natetemeka..! Shida nini? Nifanyaje ili nisiogope wanawake?
Daah pole mkuusikufanikisha kwa mkuu sweetielee
acha mara moja. amua kuacha, kaa na watu wasio kunzwa jiweke biye na kitu kingine. ukisikia kiu usinzwe jizoeye utazoea
Kuna mtu atakua kamfichaleo sijamuona kbsa SweetieLee vijiwe vyake vyote wanasema hajaonekana
mkuu hua najiambia hayo yote kichwani ila tatiyo aibuuuu. sijui zatoka wapi kwakweli, nikiona wasichana nakua mdogo mno siongei kabisa kama sio kuhama. mpaka mtu nimzoee sana.Haha wanaita caligynephobia au venustaphobia yaani fear of beautiful women unawaogopa watoto wa kike sio wazur sio wabaya
Ingekuwa una hatred or ill will towards them hio ni mbaya sana inaitwa gynephobia
Inaonekana wewe sio mtu wa watu sio wa kujichanganya hata rafki zako ni wachache na wengi sio wanawake hapo kidogo lazima iwe ngumu Ku interact nao ukikutana nao
Au you have been put down or insulted severely by women hili pia ni sababu
Au you never interacted with girl of your age group
Cha kufanya
Ondoa hio mentality kichwani pia you are afraid what they might think of you ondoa ilo wazo waone kawaida
Recognize the fact they are just female ni watu kama wewe hawan'gati
Jichanganye nao tafuta marafiki wa kike interact nao hili pia litakupa confidence acha kujifungia ndani na PC yako unaangalia animation nenda kajichanganye nao
Mimi Nina pombephobia napenda pombe kuliko mademu
Wakuu mimi na tatizo kidogo..naogopa sana watu wa jinsia tofauti na yangu. Yaani kupishana na wanawake watatu njiani bora nikutane na mbwa sitaogopa. Ila girls nakua adi natetemeka..! Shida nini? Nifanyaje ili nisiogope wanawake?
Unanitukana mkuu..If you can't defeat em, join em
Unanitukana mkuu..