Vijana kama hamna pesa msilazimishe mapenzi

Vijana kama hamna pesa msilazimishe mapenzi

Napata mashaka kama huyu ni mzee kweli" hata hivyo kula maisha mzee

"Hakuna aliyekamilika"
 
Kwa nini ugharamie mapombe wakati ukiwaita Lodge wote watatu watajua wanakuja kufanya nini kwa gharama chini ya Laki 2!

Kwa kweli si pesa tu itakayokufanya uinjoi maisha bali na akili pia
Hapo ilikua simple “ game” tu wanaondoka wametoa huduma na pombe lofa wa kiume mmoja aende kutoboka huko!
 
Tulisha sema hayo mambo yahovyo ya 2021 muyaachie huko huko, tangu lin mapenz yakawa yanahusiana na kipato?.

Nyie ndio mnaowaharibu wanawake kwa maushauri hovyo kama haya,

Anyway tafuteni sana pesa, mwanaume kapuku anapendwa na njaa tuu, yaan njaa itakupenda ukiwa umeshiba pia ukiwa hauna kitu, bado itakuwa sambamba nawew mpka kifo chako.

Tafuta sana pesa, mapenzi nowadays yamekuwa biashara, ndiomaana tunawashaur vijana waache kukimbilia ndoa,
 
Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli.

Tukirudi kwenye kichwa cha habari kama kawaida yangu sikutaka kulaza damu nikasema ngoja nijichanganye katika moja wapo ya viwanja fika pale weka kinywaji changu kizito na stoney tangawizi.

Muda si mrefu akaingia kijana wa kisasa barobaro na wanawake watatu nikawa najisemea moyoni kwamba “Vijana wa sasa hakika ni moto wa mbali pamoja na kula kuku wa kisasa na chips mayai bado wanaweza miliki wanawake wanne na akawamudu vyema kabisa”

Nilipokuwa nikitafakari moyoni ghafla ukatokea mzozo mdada mmoja akaagiza Jack Daniel na mwingine akaagiza Jameson jamaa akapaniki akawa anatoka anarudi bila vinywaji na simu muda wote iko masikioni.

Kwa kuwa nilisikia wale wadada wameagiza nini na fika nikajua kijana hawezi mudu gharama ya vinywaji hivyo nilichofanya nikamuita muhudumu nikamwambia awape Vinywaji walivyokuwa wakihitaji wale mabinti

Walivyoletewa mabinti walipigwa na butwaa mosi nikajua fika walikuwa wanamtikisa kijana wa kisasa, kwa pamoja wakahamia meza yangu.

Jamaa alivyorudi akakuta meza yake iko tupu wadada wamehamia meza yangu akapaniki akaanza nitolea lugha za matusi na kejeli, kosa alilofanya ni kutaka kunikaba nilimfua vilivyo. Nilimshikisha adabu akatolewa nje na security officer.

Hapa na mpango wa kupiga threesome kwa wadada hawa, na atakaye jilaisisha zaidi naweza ruka ukuta maana ni mabinti wa kanda pendwa ya watafutaji na ni wazuri hasa.

Wito, vijana tafuteni pesa mmiliki kila mwanamke unayemtamani, huna hela huna ulinzi usijisumbue kukanyaga maeneo ya starehe utakufa kabla ya muda wako.
Ulimpata boya, aisee ndo maana nilijifunza karate, ningekuvunja miguu,
 
Hujitambui unanunua ngono unakuja kutuambia sisi? alafu unasema hayo ni mapenzi????
 
ukitaka kuwa 'security officer' unatakiwa kusoma course gani?
 
Dogo alijua watakunywa serengeti lite awaagizie za mafungu
 
Mapenzi ili uingie lazima uwe na mtaji...

Otherwise ni biashara kichaa... Madogo wanapenda mapenzi na hata Condom haziwatoshi.

Fakeni,,, hovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom