Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Vijana jifunzeni programming you wont regret it

programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Mbona izo program ulizotaja ni chache ukilinganisha na idadi ya watu?
We ume develop program gani?
 
Ushauri mzuri sana mkuu.

Big up.

Mkuu ungeweka na summary kidogo mtu aanzie wapi ili asiangaike sana kwenye kutafuta hizo tutorials.

I mean main concepts ambazo akianza nazo huku pengine inabidi aendelee.

Ila ulivyosema programming kwa pamoja mtu akiwa mgeni sidhani kama atakuelewa aanzie wapi kama hao wanaotaka kujifunza themself.
tafuta app inaitwa sololearn itakusaidi kwa kuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina vyeti vizuri sana vya I.T ila walimu walikuwa lipua kwenye practical. Nataka kuwa mtamu katika either graphics, networks, web development and programing ile web based!
ww ndo ulikuwa mzembe cz kuwa na computer na internet inatosha sana kwa ww kujifunza na kupratice isitoshe mwanga ulikuwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
group la telegram liko tayari fungua hii link ya telegram afrocode
send me you number i will join you
kiingilio ni 10000 tshs
utapata premium contents and awesome tricks,coached,mentored for the whole year
content utakaopata ni
full stack software development
entrepreneurship
inspiration contents

namna ya kulipia
lipa elfu kumi kwenda 065313361
hakikisha jina aziz yusuph linaonekana
sms the confirmation message to 0653313361
make you use your same number to complete the transaction
you will be joined to the group

namna ya kupata telegram
for desktop device https://telegram.org/dl/desktop/win
for android device Telegram – Програми Android у Google Play
for windows phone Acheter Telegram Messenger - Microsoft Store France
for iphone/ipad Telegram Messenger on the App Store
you welcome
mh! kwel kufa kufaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Kiongozi fungua group what's up

SIJUI KESHO.
 
Duh! Ujifunzie tuu mtandao bila kwenda shule? Labda Html, lakini kwa Php,Javascript,C++,visual Basic.. tuache utani mimi nmesoma haya mambo ni magumu balaa yanahotaj muda wa kufundshwa pia kufanya kigroup zaidi

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
unaweza jifunza language (php,python,java) yoyote online lakini displine inaitajika kuwa mvumilivu na kutokata tamaa, cz sio rahisi .


kwa kuanzia tafuten app inaitwa sololearn ni nzuri sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee hivi vitu viliwi programming na networking ndo nlibakizaga.
Mambo yananbana kinomaa
 
programing ni tamu asikwambie mtu
Capture 1.PNG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom