computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 503
- 541
- Thread starter
- #121
what about this www.intelligentcode.xyz
what about this www.intelligentcode.xyz
greatUntil you reach here..
![]()
Asante sana mkuu
Ni just a matter of time, wewe ulitumia muda gani kufika hapo?Until you reach here..
![]()
Guyz tusiwe wavivu mambo yote yapo mtandaoni. bundle lako tu mambo ya kumlipa mtu hayo, ushamba.unaweza jifunza language (php,python,java) yoyote online lakini displine inaitajika kuwa mvumilivu na kutokata tamaa, cz sio rahisi .
kwa kuanzia tafuten app inaitwa sololearn ni nzuri sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
This is a big fat lie!Kuna vitu unazaliwa kuvifanya hata kama uangalie tutorial ngapi huwez kuwa expert unless it's in your blood
Hzo video Ni BS tu Kuna vitu unazaliwa kuvifanya hata kama uangalie tutorial ngapi huwez kuwa expert unless it's in your blood
This is a big fat lie!
Bize. Napiataga huku nikiwa na dk 5 au pungufu. Ipost kwenye ile thread yako possibly mtu mwingine anaweza kui pick up kama nitachelewa zaidi.Kaka nimekutumia PM siku kama ya tano leo nasubiri msaada wako..
Bize. Napiataga huku nikiwa na dk 5 au pungufu. Ipost kwenye ile thread yako possibly mtu mwingine anaweza kui pick up kama nitachelewa zaidi.
Mkuu nipe maujanja nami bac wapi nianze maana naipenda hii kuifanya mbal na kaz zang zingne..wapi nianzie mkuu stage ya kwwnzan.xo naomba.muongozo kidogoMi nasoma Graphics design huko huko you tube, naanza kuna mabadiliko, tupunguze udaku...
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tatizo mnapenda kuwatumia wenzenu kama sourse of income, hivi wewe jamii forumn wamekutoa pesa? mbona upo humu unapata maharifa2join the group to get more premium contents
afrocode
kiingilio elfu 10
you send payments to 0656313361 then sms the confirmation code