computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 503
- 541
- Thread starter
- #81
wakati wa kuanza ni sasa join www.freecodecamp.org ushushe nondoKuna wakati nilikuwa motivated sana na PL ila nikakosa pa kuanzia...
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati wa kuanza ni sasa join www.freecodecamp.org ushushe nondoKuna wakati nilikuwa motivated sana na PL ila nikakosa pa kuanzia...
Sent using Jamii Forums mobile app
ukitaka upate raha ya maisha ingia hapa www.freecodecamp.orgmkuu endeleza mada basi
nimesoma highlights za coding kidogo baada ya kupita hapa
hata vyet unaweza kupata kupitia online schools
Mkuu hii kitu nataka nijifunze...we umeanza lini mkuu hebu nipe muongozoMi nasoma Graphics design huko huko you tube, naanza kuna mabadiliko, tupunguze udaku...
Sent using Jamii Forums mobile app
madili yatengeneze mwenyewe from scratchMimi mbona najua code mkuu php,cc,c+, java ,HTML mbona sipati ma deal mkuu nipe deal basi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaaaaasafiiii.naomba kuuliza,ww unapiga sh ngp mkuu
start now www.freecodecamp.orgMkuu vyote ulivovitaja ninavyo na naipenda hiyo programming but nashindwa nianzie wapi msaada tafadhali........
group la telegram liko tayari fungua hii link ya telegram afrocodeKuna ombi hapa limetolewa lakini hakuna majibu. Nivema likajibiwa ili tujue kama inawezekana au haiwezekani kuanzishiwa group la WhatsApp ili sisi Wenye nia na uhitaji tupate mahala pa kupewa maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
I need to learn programming from scratchKama ulishawahi kutaka kujifunza programming but hela ikawa ni kikwazo dont give up.
Bado kuna njia nyingi za kuweza kutimiza ndoto zako.
Fight upate laptop, modem and full internet conections, you are done.
If you aready know what you want, use youtube videos to learn amazing tricks
If you want to be coached,and mentored use online free bootcamps
It will take up to three month to be a front web developer. if you are fast learner you can become junior developer in month.
Kama ni slow learner tafuta tutorial za ivy league schools ie havard, Stanford, MIT,
zipo free video created by real profesor from ivy leagues kwenye web za vyuo husika.
Hapa hapa bongo kuna kazi kibao if you realy now how to code... utakimbia mwenyewe.
Hivi unajua full stack developer analipwa sh ngapi?
Ni kuanzaia usd3000 had usd 10000 na kuendelea yaani kuanzia million sita hadi milion ishirini na kuendelea.
But wajasiriamali hiyo wanapiga kuanzia usd10000 hadi usd100000 na kuendelea
so you wont regret it.
Happy coding
kutokana na maombi ya watu wengi nimeamua kuanzisha group ambalo ukijiunga utaelekezwa ni njia gani upite ili uweze kuwa full stack software developer
tuma number basikutokana na maombi ya watu wengi nimeamua kuanzisha group ambalo ukijiunga utaelekezwa ni njia gani upite ili uweze kuwa full stack software developer
kiingilio ni elfu 10 utapata exclusive contents ambazo hazipatikani kwenye vyuo vya kibongo