Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Nenda youtube search "africom developers" kuna jamaa alikua anaanda videos za wanaoanza programmingMi kiukweli napenda kujifunza hizi mambo na cjui nianzie wap yan cna njualo Katika computer pia uwezo wa kununua laptop nnao hata kama ni million ndugu yetu kama una moyo anzisha watsap group kama walivoshauri wenzetu