Vijana jifunzeni programming you wont regret it

programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba

nadhani hii ndo sababu kubwa programming haiendelei hapa nchini.Baadala ya kuanza kui appreciate programming kwanza ndo hela baadaye the only thing mnachoanza kufikiria ni hela.Ndiyo maana wengi hampendi kusoma vitabu, video tu za youtube na kuulizwa maswali stack overflow.Most of the people ukiwauliza kwanini wanajifunza programming watakuambia kuwa wanataka wawe matajiri kama bill gate lakini mnasahau kuwa wenzenu walianza kusoma just for fun na opportunity za hela zilipofika ndo wakachangamkia fursa. Hii mentality ya hela kwanza isipobadilika na uhakika programming haitaendelea miaka nenda rudi hata kama video za youtube ziongezeke mara ngapi
 
programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Uende chup?
Mkuu ulimaanisha nn

thA God thA bubbs!!
 
Waache wakae maana kila siku tunawapigia kelele wasome hii kitu wanakwambia mbona ndugu yao alisoma analala njaa. Mwisho wa siku tumebaki wachache sana kwenye hii field tunapiga hela bila wasiwasi. Yaani mtu unaletewa kazi hadi unazikataa nyingine.
 
Mkuu vyote ulivovitaja ninavyo na naipenda hiyo programming but nashindwa nianzie wapi msaada tafadhali........
 
programming maelezo kidogo

ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani

so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani

na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
kuna nini kinachosababisha ulipwe? mimi hata sielewi napenda kujifunza but unachokiongea mimi sikijuiii
 
Ushauri mzuri sana ndugu ila hujaweka vidokezo muhimu, mathlani ni programming language gani inahitajika/ inatumika sokoni etc etc.
programming language zote ni nzuri
stick on solving real world problems, then pick a language and master it
 
kuna nini kinachosababisha ulipwe? mimi hata sielewi napenda kujifunza but unachokiongea mimi sikijuiii
kinachosababishwa ulipwe ni kazi amnbayo utakuwa unafanya,inahitaji weledi mkubwa,halafu inafanywa na watu wachache
 
mkuu upo mkoa gani wewe?
unaonaje tuki form ka group ka kusoma programming?
nipo mwanza jiji
yah kwenye freecodecamp kuna option ya kujoin group la developer within your city...so anza wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom