Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Can u show with this code then kama hauwezi share yako!

View attachment 579930
bro unashindwa elewa kuwa mimi sifanyi exercise ya kitabu cha bjournanne strappe cha programming hii ni sofware kwa hyo iyo function iko ndan ya source code swezi kuonyesha ila unachotakiwa kujua kuwa kwenye raspberry pie 2 process ina run out of memory when n = 1 million so kama huna new suggestions then ok
 
Understood then kama point yako ni kwamba raspberry pi incase n=1M ina run out of memory!
lets assume int data type ina store 4bytes then nakutakia mafanikio!

la next time ukiweka challenge weka limitations zote e.g in this regard ilibidi uwe clear from the beginning kwamba hautaki sieve method!
sio kuweka challenge then mtu aka suggest solution ukasema hiyo unaijua na hautaki inakula memory!
 
Naipenda hii ila kwa sasa sina laptop ngoja nisome kwanza

Xmass Boy.
 
people aisee i need innovation kwenye hyo ishu ya prime generating function
atakeyeweza nipa function ambayo haita crush process kwnye n = 1 million kwenye raspberry pie ntamlipa hela aisee
 
Kama ulishawahi kutaka kujifunza programming but hela ikawa ni kikwazo dont give up.
Bado kuna njia nyingi za kuweza kutimiza ndoto zako.

Fight upate laptop, modem and full internet conections, you are done.
If you aready know what you want, use youtube videos to learn amazing tricks
If you want to be coached,and mentored use online free bootcamps
It will take up to three month to be a front web developer. if you are fast learner you can become junior developer in month.

Kama ni slow learner tafuta tutorial za ivy league schools ie havard, Stanford, MIT,
zipo free video created by real profesor from ivy leagues kwenye web za vyuo husika.

Hapa hapa bongo kuna kazi kibao if you realy now how to code... utakimbia mwenyewe.

Hivi unajua full stack developer analipwa sh ngapi?
Ni kuanzaia usd3000 had usd 10000 na kuendelea yaani kuanzia million sita hadi milion ishirini na kuendelea.

But wajasiriamali hiyo wanapiga kuanzia usd10000 hadi usd100000 na kuendelea
so you wont regret it.

Happy coding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naombani msaada wenu nilikua na install buildozer kwaajili ya android app with python lakini inaniletea hii error ...

# Buildozer failed to execute the last command
# If the error is not obvious, please raise the log_level to 2
# and retry the latest command.
# In case of a bug report, please add a full log with log_level = 2
 
hii ndo tunaita "bad selection of tools"
Kama unajua sio newbie kwenye development then go with that option!
Ila kama unataka vitu real go for default tools needed to make android apps i.e Java + Kotlin and sometimes C++(lakini usijaribu C++ kwa android kama ndo unaanza game)
 
Subscribed

Will yo future thank u 4 tha sht u'r duin 2day?
 
i am a lawyer, mwanaasheria kama mimi ukiniambia kitu inaitwa programming, hata sijui unamaanisha nini, ninachojua mimi ni internet, microsoft office, access, excel na kutype kutengeneza nyaraka za mahakamani. what is it, and how can that thing help me as a lawyer? kuna mahesabu kwamfano nikitaka kwenda shule kabisa (labda niende udsm computing centre hapo etc)....binafsi nina mpango kutaka kuendesha website mimi mwenyewe bila kutumia mtu au kutengeneza zingine mimi mwenyewe. utatoa detail kidogo tufaidie sisi wengine tuliokimbia hesabu?
through programming as a lawyer u can develop appointment management system to manage your customers hence reducing idle time and increase productivity
you can build online law forums
you can start online legal consultation,where by you can charge your client on timely bases and the transaction are sent directly to your bank accounts
you can bulid the app that locates lawyers so that clients can hire lawyers in their neighbourhood commerce....you can charge the lawyer to sign up for the service,you can charge the clients for using the service we call it shared economy

here is the magic of programming
if you charge the lawyer 50usd per month for 1000 lawyers you get 50000usd per month
if you charge clients 5usd per month for 1000 clients you get 5000 usd per month
total 55000usd per month
happy coding
 
mkuu, hii kitu hata mimi nahisi nahitaji. unapatikana wapi, mi niko mbeya ila nahitaji website yenye huduma kama hizo. mimi pia ni lawyer...though payment system za tz siamini kama zipo vizuri mtu alipe moja kwa moja baada ya kupata huduma lets say labda amedownload kitabu ila kabla hajadownload amelipia kwanza na hela ikaenda kwenye account yangu moja kwa moja. before ile command yake haijafanyika aulizwe kulipa kwanza akilipa ndio afunguliwe adownload. how can you do that kwasababu mimi ni mtunzi wa vitabu vya sheria na huwa nauza sana ila kupitia maduka kwenye physical addresses, pia kuna soft za material kadhaa wanasheria au raia wa kawaida wanaweza kulipia mtandaoni na kununua. namna gani ya kuwezesha mpesa/tigopesa/airtel money etc zilipe (na mtu asiwapigie baada ya kupata kitu changu kubadilisha akijifanya arudishiwe hela imetumwa kimakosa), najua debit/credit cards tz ni kama equit bank tu, bank zingine hazina, na equit bank haipo tz maeneo yote. how can you advise me kwenye circumstance ya namna hii? THANKS.
 
Kuhusu how to enable mpesa tigo pesa transaction inawezekana kabisa kuintergrate na hela ikaingia kwenye trusted account
bank yoyote unawezatumia account yake kudraw hela zako
even if kama hauna benk account bado unawezafungua virtual account ambayo haina limit za ecommerce
nimependa watu wenye mtazamo kama wako kwani watanzania bado wapo nyuma kwenye masuala ya ecommerce
pm me please
 
MBONA TUNA GRADUATE WA ICT KIBAO JOBLESS, TATIZO NIN?
lack of entrepreneurship skills
vijana wengi wanagraduate bila kujua programming
watanzania ni wagumu kutumia product za IT
bad government policy...... nchi za wenzetu wana visa maalum ambayo ni special kwa innovators unapewa ukazi ambao utafatiwa na uraia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom