Vijana jifunzeni programming you wont regret it

People make money by finding flaws. A skilled programmer hatakiwi kusubiri ajira. Sijakilalia kitanda lakini nkikiona kichafu najua kitaleta shida. Sio lazima ujichome kisu cha tumbo ndio ujue kama utaumia
Sawa boss. Nikupe advice ya bure. Tafuta hiyo flaw na uajiri kijana akufanyie kazi. Si una uhakika wa ku make money, why not pay someone else to do work for you and you enjoy the rest of the money? Vijana wapo na ukiwapa dau zuri hata kwa mkataba mtafanya kazi.

Bahati mbaya wakosoaji wengi wa aina yako hawapo fani hii na wala hawana mpango nayo japo kila wakati wanaimba kuwa ina "pesa". Kwa nini hamjitosi na ina ma opportunity mengi? Usiseme kuwa wewe sio fani yako. Hata MoDewji au Bakhresa sio fani zao kutengeneza sharubati!

Kama kuona ingekuwa kila kitu, basi mpira wa miguu ungekuwa mchezo rahisi sana kuucheza.
 
Ushauri mzuri sana mkuu.

Big up.

Mkuu ungeweka na summary kidogo mtu aanzie wapi ili asiangaike sana kwenye kutafuta hizo tutorials.

I mean main concepts ambazo akianza nazo huku pengine inabidi aendelee.

Ila ulivyosema programming kwa pamoja mtu akiwa mgeni sidhani kama atakuelewa aanzie wapi kama hao wanaotaka kujifunza themself.
Wengi wanashauri uanze na hivi vitu kwa mtiririko
1.HTML/CSS

2.Basic Javascript

3.JSON

4.JQUERY(only if you are comfortable with javascript)
 
Sawa boss. Nikupe advice ya bure. Tafuta hiyo flaw na uajiri kijana akufanyie kazi. Si una uhakika wa ku make money, why not pay someone else to do work for you and you enjoy the rest of the money? Vijana wapo na ukiwapa dau zuri hata kwa mkataba mtafanya kazi.

Bahati mbaya wakosoaji wengi wa aina yako hawapo fani hii na wala hawana mpango nayo japo kila wakati wanaimba kuwa ina "pesa". Kwa nini hamjitosi na ina ma opportunity mengi? Usiseme kuwa wewe sio fani yako. Hata MoDewji au Bakhresa sio fani zao kutengeneza sharubati!

Kama kuona ingekuwa kila kitu, basi mpira wa miguu ungekuwa mchezo rahisi sana kuucheza.
Kama wewe ni developer, basi nasikitika sana. kwa sababu ushanionesha kuwa you lack creativity and determination. Seems like you are among those who wait to be employed instead of being creative by looking in your society what is lacking or what needs to be improved?

By the way, kwanini nitoe pesa kwa programmer au developer kama wewe ikiwa you have shown me such a low attitude? si nitakuwa napoteza pesa zangu bure. Huna ushindani how can i expect you can find flaws in Tigo pesa system? let alone in any of google apps?

Just for your information, i am very much intrested in tech more than you for sure, sijapata mda wa kusomea ivo vitu lakini ningesomea naamini Tanzania tungekuwa na kitu cha kujivunia.

Ukiambiwa ukweli sio upanic, ukae ujitafakari.

Nina rafiki yangu yeye amesomea hayo mambo nimempe project, its now 2 years hata nikimtumia meseji sijibiwi kabisa. Na ilikuwa tuianze tangu last year September.
Same ideas nilikuja kushare na tapeli mmoja ambae sikujua kama tapeli humu Mathewkapela, akanambia it is possible, imemshinda, nikampa my other project which is not techy pia kabana kimya mpaka leo.

Sikusomea programming lakini nina ideas kwa sababu tayari nimeona what Tanzania is lacking and what they want.

Kama unaona wazo langu la kutafuta flaws and offer a fix halina maana tafuta Bug Bounty Programs utaona how people make money.

We kaa tu hapo subiri akujie mteja anataka app au website, because that seems what you can only do.
 
Duh, aisee!

Simaanishi utoe fedha zako kwa idiot programmer like me. Una maana Tanzania hakuna developer hata mmoja anayeweza ku work out idea zako? Dunia kijiji, hata nje ya Bongo hakuna anayeweza kukufanyia?

Usijifiche kwenye kichaka cha kusomea boss. Hata SSB hafanyi packaging ya Unga wa Azam. MoDewji yawezekana kabisa akawa hajui jinsi ya kutengeneza product zake kadhaa. Sidhani kama Reginald Mengi ni mwandishi wa habari. Au na wewe una lack creativity kama mimi?

Ukiambiwa ukweli sio upanic, ukae ujitafakari.
Naendelea kujitafakari boss!

Nina rafiki yangu yeye amesomea hayo mambo nimempe project, its now 2 years hata nikimtumia meseji sijibiwi kabisa. Na ilikuwa tuianze tangu last year September.

Same ideas nilikuja kushare na tapeli mmoja ambae sikujua kama tapeli humu Mathewkapela, akanambia it is possible, imemshinda, nikampa my other project which is not techy pia kabana kimya mpaka leo.
Matapeli kila fani wapo. Criteria inapaswa kuwa uwezo wa kazi. Ulipaswa kuangalia hilo sio anachosema mtu au urafiki. Best way ni kutafuta kazi unayoipenda na kutafuta kaifanya nani. Kama hana muda anaweza kukupa recommendation. Pole kwa kutapeliwa. Usikate tamaa!

Sikusomea programming lakini nina ideas kwa sababu tayari nimeona what Tanzania is lacking and what they want.
Push hizo idea, unaweza kuwa the next Mukesh Ambani/Dangote wa kesho!

Kama unaona wazo langu la kutafuta flaws and offer a fix halina maana tafuta Bug Bounty Programs utaona how people make money.
Sio rahisi ki hivyo Bongo yetu. Ukiingia ground utajua tu!

We kaa tu hapo subiri akujie mteja anataka app au website, because that seems what you can only do.
Am not sure that is only I can do. I think there are more I can do like lacking of ideas.

Oh! ngoja niamke nianze kuangalia flaws 😉
 
Simaanishi utoe fedha zako kwa idiot programmer like me. Una maana Tanzania hakuna developer hata mmoja anayeweza ku work out idea zako? Dunia kijiji, hata nje ya Bongo hakuna anayeweza kukufanyia?
Nilitegemea hizo idea ziwe already implemented by creative ones, lakini the attitude of TZ devs ni kusubiri ajira tu.
Nje ya bongo wapo wengi tu, na washafanya tayari. Instead kunisubiri mimi, wao tayari wapo creative, kazi wameifanya.

Usijifiche kwenye kichaka cha kusomea boss. Hata SSB hafanyi packaging ya Unga wa Azam. MoDewji yawezekana kabisa akawa hajui jinsi ya kutengeneza product zake kadhaa. Sidhani kama Reginald Mengi ni mwandishi wa habari. Au na wewe una lack creativity kama mimi?
SSB hatumii mchanga mpaka kujenga kiwanda cha unga, wala Mengi sifikiri kama anawalipa watu oxygen kutengezea ippmedia. Na sifikiri kama wote uliowataja wameanza na volunteers ama kampuni zao wana shareholder mwengine zaidi ya kuwa mwenyewe tu. BTW programmer lazima usomee, huwezi kujiita programmer eti kisa UNAMILIKI tu Facebook. SSB anajulikana ni kama mfanya biashara, sio Engineer kwa kuwa tu anakiwanda. Ukatoa mfano mzuri wa Mengi, huyu nae ni mfanyabiashara sio MWANDISHI WA HABARI. Kwaio siwezi kuwa programmer kwa kuwa nna idea tu. Besides, kuna watu wizi wa idea, unaweza ukamfata programmer ukampa idea yako, akakupiga chenga. Hata tajiri ukimfata ukampa idea yeye akusponsor basi akiona ina faida ana uwezo wa kukupiga chenga. Ukajikuta umemneemesha mtu.

Matapeli kila fani wapo. Criteria inapaswa kuwa uwezo wa kazi. Ulipaswa kuangalia hilo sio anachosema mtu au urafiki. Best way ni kutafuta kazi unayoipenda na kutafuta kaifanya nani. Kama hana muda anaweza kukupa recommendation. Pole kwa kutapeliwa. Usikate tamaa!
Sijatizama kigezo kuwa eti rafiki yangu ndio anajua programming 😀 mkuu, nimetizama knowledge yake. Sikumfata rafiki yangu mwenye duka la kuuza simu nkamwambia nataka anitengezee program.

Push hizo idea, unaweza kuwa the next Mukesh Ambani/Dangote wa kesho!
Nasubiri someone i can really trust with my ideas.

Sio rahisi ki hivyo Bongo yetu. Ukiingia ground utajua tu!
Have you ever posed a threat to any company? not you only i mean TZ developers. If not then clearly no one will take you guys as a threat to the current system.

Hebu undeni timu mara moja and crack the mobile money system. Utaona jinsi gani watakavokuwa tayari kuwalipa kuwaonesha how yo did it and how they can fix it. Pesa haichezewi
 
Nasubiri someone i can really trust with my ideas.
Utasubiri sana na hutapata kwa sababu ushangátwa na nyoka hata jani likikugusa. Ulikosea tangu mwanzo na usirudie kukosea. Tafuta developer mzuri anayeweza kufanya kazi na ukamlipa sawa na kazi yake. Ukimpata andikishana naye mkataba wa kisheria mbele ya advocate na muandikishane NDA.

Then mnafanya kazi bila longo longo. Huo ndio utaratibu professional.

Have you ever posed a threat to any company? not you only i mean TZ developers. If not then clearly no one will take you guys as a threat to the current system.

Hebu undeni timu mara moja and crack the mobile money system. Utaona jinsi gani watakavokuwa tayari kuwalipa kuwaonesha how yo did it and how they can fix it. Pesa haichezewi
Tafuta siku around November. Uje ofisini kwetu, nikupe hint za project ambazo zilikataliwa na yet tatizo lipo. Wakapewa watu incapable na watu wanaoweza tupo. Nadhani huijui system ya Bongo vyema. Ndio maana nikasema ukigusa ground utaelewa. Kwa sasa uko angani bado...!
 
mliofuata ushauri wangu mmefikia wapi kuna jamaa yangu nilimshauri ajifunze code via freecodecamp sasa hiv ni front end developer
 
Utasubiri sana na hutapata kwa sababu ushangátwa na nyoka hata jani likikugusa. Ulikosea tangu mwanzo na usirudie kukosea. Tafuta developer mzuri anayeweza kufanya kazi na ukamlipa sawa na kazi yake. Ukimpata andikishana naye mkataba wa kisheria mbele ya advocate na muandikishane NDA.

Then mnafanya kazi bila longo longo. Huo ndio utaratibu professional.

Tafuta siku around November. Uje ofisini kwetu, nikupe hint za project ambazo zilikataliwa na yet tatizo lipo. Wakapewa watu incapable na watu wanaoweza tupo. Nadhani huijui system ya Bongo vyema. Ndio maana nikasema ukigusa ground utaelewa. Kwa sasa uko angani bado...!
Huyu bwana anabwabwaja hajui analoliongelea.
Kila mtu ambaye hajui tech all of a sudden ana idea siku hizi!
Na eti idea yake ni siri hawezi kukwambia, 90% of the time hiyo idea inapingana na laws the physics na the other 10% anataka wewe ndo ufanye kazi bure yeye mchango wake unaishia kwenye idea.

Kwa mfano tu hiyo idea yake ya kutafuta weakness NI ILLEGAL! Hauwezi kuingia system za watu bila kupewa ruhusa na ndo maana hauwezi kuingia kichwa kichwa kwenye kampuni ambazo hazina bug bounty program zinazokuruhusu kufanya hivyo utaishia kunyea debe.

Your ideas are useless! Tatizo sio idea tatizo ni execution na execution kwenye tech space inahitaji hela siku hizi kitu ambacho hakipo bongo.
 
Mi kiukweli napenda kujifunza hizi mambo na cjui nianzie wap yan cna njualo Katika computer pia uwezo wa kununua laptop nnao hata kama ni million ndugu yetu kama una moyo anzisha watsap group kama walivoshauri wenzetu
 
Kwa ambao hawajui pakuanzia naweka Links mbili hapa labda zitawasaidia beginners

Kwa Upande web development pakua hizi tutorials The Complete Web development course

Kwa wale ambaowangependa kwenda na Programming labguage ambayo ni multi purpose na rahisi Beginners Java Programming-TheNewBoston

Kama utaka kwenda Advanced zaidi kuna Course nyingine ya Java itafundisha kila almost kila kitu isipokua Java servelets na Android programming,itakufundisha ku Build GUI kutumia JavaFX tena kwa urahisi zaidi kwa kutumia SceneBuilder,itakufundisha Networking itakufundisha features mpya za Java 8 kama Lambda Expressions

Complete Java Masterclass

Kuna Course inatolewa na Harvard(Hii ni the Best nafikiri) walikua wanafunidhs kwa C ila nafikiri kwa sasa ni Python ni wewe kwenda hapa nakuanza shule Introduction to Computer science-Havard-CS50x

Kuna course kibao walimu mbali mbali Online katika sites kibao mtandaoni sema mm napendelea Udemy maana nyingi ni za kulipia na zinakua na Value for money!

Kama unataka Course za Bure bila kulipia Udemy waweza kutumia Download Udemy Courses For Free | FreeUdemy.Me hapo utakuta Tutorials kibao hata mbazo sijataja kama za Photoshop,C# na C++ ni wewe kwenda hiyo site na ku search!
Ni bureee?
 
Mi ckua najua chochote zaid ya kua blogger, but baada ya Uzi huu nmeanza kujifunza HTML, so wakuu naomben ushaur wenu pa kuanzia
 
Mada kama hii itapata wachangiaji wachache sana.. Tatizo tunapenda sana umbea na habari nyepesi...Ukweli YouTube kuna video nyingi sana za kujifunza sio computer tu Bali karibia kila kitu. Ila I hope Uzi wako kuna mtu utamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe mbea ndo maana umewashwa ukaona ulete habari za kimbea!
 
Nami naanza kusoma..majibu nitayaleta hapa baada ya kuhitimu.
Asante kuwa kuanzisha uzi huu.
Nilitamani muda mrefu kujifunza hii kitu ,nadhani sasa umefika wakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom