Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana

Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-

1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.

2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo

3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40

4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri

5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.

6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
  • Figo na
  • Moyo.

7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.

MY TAKE:

Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
Hyo siyo taarfa njema kwa moo na bakheresa


Ingawa wangewahoji hao vijana juu ya matumiz Yao ya energy na pombe usikute hao vijana wanakuula kitimoto kwa wingi
 
Thibitisha kuwa Bangi ina tatizo kwa kutueleza ni kwa vipi ina tatizo
Wengi wanakuwa na tatizo la afya ya akili na wanakuwa very emotional , inaathiri sensitivity ya mtu anaweza akawa na mihasira isiyokuwa na sababu
 

Attachments

  • Screenshot_20240316-194402_Instagram.jpg
    Screenshot_20240316-194402_Instagram.jpg
    296.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240316-194427_Instagram.jpg
    Screenshot_20240316-194427_Instagram.jpg
    389.3 KB · Views: 2
Tukio la JB, huyo mwanamke jambazi na wenzao kuuawa mwaka huo linanikumbusha yafuatayo:
1. Onyesho la muziki lililoitwa BUWASHIBA likiwahusisha Bushoke, WASHIKAJI (kama kundi likiwahusisha Ismail ambaye kama sikosei kwa sasa yupo kwenye band ya Mrisho Mpoto na kijana mwingine jina limenitoka) na Banana Zoro. Onyesho hili lilifanyika ukumbi fulani uliokuwa pale Dar maeneo ya Sayansi ambao kama sikosei ulikuwa ukimilikiwa na mmiliki wa Clouds FM. Jina au neno BUWASHIBA liliwakilisha herufi za mwanzo za majina ya wanamuziki hao.
2. Tukio la ujambazi wa kutumia silaha kwenye maduka ya simu pale Mwenge ambapo ilidaiwa kiongozi wa majambazi hayo alikuwa ni mwanamke akitembeza njugu mawe kwa bunduki yake mithili ya komandoo.
3. Siku chache baadae JB, huyo mwanamke niliyemwelezea katika tukio la pili hapo juu na majambazi mengine yakaripotiwa kuuawa na polisi huko Morogoro. Picha ya huyo jambazi mwanamke aliyeuawa iliwekwa kwenye baadhi ya magazeti na mmoja wa watu wangu wa karibu sana akanieleza jinsi huyo mwanamke alivyomwendea bila kumfahamu na kutaka kumuuzia moja ya simu nyingi kali alizokuwa nazo kwenye begi tena kwa bei ya chee na hiyo ikiwa ni ndani ya wiki moja tu baada ya tukio la ujambazi kwenye maduka ya simu pale Mwenge ambapo huyo mwanamke alidaiwa kushiriki kwa kuongoza majambazi wenzie.

Nimetaja haya matukio yote matatu kwa sababu yalifuatana ndani ya muda mfupi kwa mpangilio niliouweka.

Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Tafadhali Sana ndugu yangu, hebu mtoe huyo mnyama hapo tafadhali ili tuende sawa😂😂😂
 
Kuna ambao watafuata utaratibu kuna ambao hawatofuata.

Kwani hakuna watu wanakunywa beer mbili na hawaendelei?
Kwa kutoa maelezo ya kitaalamu kuna ambao yatawasaidia na kuna ambao ni vichwa ngumu lakini si kusema kwamba hata mkipewa maelezo hamtofuata.
Wewe unafikiri wazee wetu walipokuwa wanasema ukifanya kitu fulani ni taboo walikuwa wajinga? Walijua ukianza kutoa maelezo mtaanza kuya -critique kwa sayansi zisizo.
 
Back
Top Bottom