Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki...
Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
Walipo ipata mali, wakaingia mjini
Wakamtupa jalali, jembe na wake mpini
Wakaponda zote mali, na warembo limbukeni
Wakachana daftari, kupoteza taarifa
Walikula na kusaza, wakaota na vitambi
Meza wakatandaza, kwa peza za rambi rambi
Rambi rambi zake faza, aliewaeleza kwamba
Kama mnataka mali...
Kwema wana JamiiForums?!!!
Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI.
Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.