Vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinamaliza nguvu kazi za Taifa

Bususwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
429
1,011
energy dd.jpg

Serikali mko wapi? TBS na TFDA mko wapi?

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana, kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja,

Hapo zamani tulikuwa na kinywaji cha kuongeza nguvu kijulikanacho kwa jina la Red Bull tu na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red Bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu, na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani.

Sasa hivi kuna hivi vinywaji vya kuongeza nguvu vimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi;

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi pombe kali (yaani spirits) chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae zikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi, lakini sasa hivi kuna spirits nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua! Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa.

spiriti.jpg

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa asubuhi na mapema je, ataanda kujenga taifa lake saa ngapi? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi? Hapa kuna shida, matokeo yake vijana wanaanza kuwa panya boi tu huko mtaani.

Madhara ya Spirit
  • Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania.

Kwenye hizi energy drinks hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga vinywaji vya kuongeza nguvu na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria, hivi kweli wataendesha kwa umakini?

Madhara ya energy drinks;
  • Mapigo ya moyo kwenda mbio.
  • Kukosa usingizi kwa muda.

Nini kifanyike?

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji ili vijana washindwe kumudu kununua. Mfano wangapi wanatumia Red Bull au Windhoek, hii itasaidia kuliponya taifa.

Mfano boda boda achanganye energy drink na gin, si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kuwa na kilema cha kudumu?!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Serikali mko wapi?? TBS na TFDA mko wapi??

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana,kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja! Hapo zamani tulikua na kinywaji cha energy kijulikanacho kwa jina la Red bull tu! Na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu! Na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani!

Sasa hivi kuna hizi energies zimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi!

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi Pombe kali yaani spirit chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae ikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi! Lakini sasa hivi kuna hizi spirit nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua!

Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa!

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa Asubuhi na mapema je ataanda kujenga taifa lake saa ngapi?? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi?? Hapa kuna shida ,matokeo yake vijana wanaanza kua panya boi tu huko mtaani

Kwenye hizi energies hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga hizi energies na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria hivi kweli wataendesha kwa umakini??

1. Madhara ya energies
a) Mapigo ya moyo kwenda mbio
b) Kukosa usingizi kwa muda

Madhara ya Spirit

Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania

Nini kifanyike

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji,ili vijana washindwe ku afford kununua! Mfano wangapi wanatumia Red bull au Windhoek?? Hii itasaidia kuliponya taifa!

Mfano boda boda achanganye Energies na Gin? Si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kua na kilema cha kudumu

Hatari sana duniani hakuna matata
 
Suluhisho lako sio applicable kwenye biashara na uchumi wa nchi kiujumla ukiweka bei hili kukimbiza wateja ina maana kampuni zitakosa wateja zitafungwa serikali itakuwa haipati kodi..Solutuon ni kwamba atakayetaka anywe na yule ambaye ataona zina madhara ataacha maana kila mtu anajijua mwenyew na maisha yake na kila mtu anatafuta tonge lake anavyojua yeye....all in all usishangae kama hii thread yako itaunganishwa maana kuna thread zaidi ya mia humu watu wanaongelea hivi vinywaji
 
Juzi nilikuwa namsikiliza MO, alisema katika bidhaa zake zote, Mo Extra ndiyo bidhaa inayofanya vizuri zaidi sokoni.

Maana yake nini? Kuna matumizi makubwa sana ya Energy drinks.

Lakini vijana inawabidi kufanya hivyo ili maisha yasonge. Anapiga Mo Extra yake na andazi la Bakhressa, buku imeisha. Mpaka tena mchana huko, anatafuta kingine.

Ukweli ni kuwa, tukitaka kudhibiti haya basi serikali haina budi kuboresha na kuleta unafuu wa maisha kwa mtu wa kawaida kabisa.
 
Suluhisho lako sio applicable kwenye biashara na uchumi wa nchi kiujumla ukiweka bei hili kukimbiza wateja ina maana kampuni zitakosa wateja zitafungwa serikali itakuwa haipati kodi..Solutuon ni kwamba atakayetaka anywe na yule ambaye ataona zina madhara ataacha maana kila mtu anajijua mwenyew na maisha yake na kila mtu anatafuta tonge lake anavyojua yeye....all in all usishangae kama hii thread yako itaunganishwa maana kuna thread zaidi ya mia humu watu wanaongelea hivi vinywaji
Kweli kamanda! Lakini ulishaona hizi energies zetu zinauzwa kwa wenzetu huko duniani?? Yaani MO Extra iwe pale kwenye masoko ya London au New York???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Serikali mko wapi?? TBS na TFDA mko wapi??

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana,kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja! Hapo zamani tulikua na kinywaji cha energy kijulikanacho kwa jina la Red bull tu! Na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu! Na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani!

Sasa hivi kuna hizi energies zimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi!

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi Pombe kali yaani spirit chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae ikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi! Lakini sasa hivi kuna hizi spirit nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua!

Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa!

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa Asubuhi na mapema je ataanda kujenga taifa lake saa ngapi?? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi?? Hapa kuna shida ,matokeo yake vijana wanaanza kua panya boi tu huko mtaani

Kwenye hizi energies hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga hizi energies na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria hivi kweli wataendesha kwa umakini??

1. Madhara ya energies
a) Mapigo ya moyo kwenda mbio
b) Kukosa usingizi kwa muda

Madhara ya Spirit

Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania

Nini kifanyike

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji,ili vijana washindwe ku afford kununua! Mfano wangapi wanatumia Red bull au Windhoek?? Hii itasaidia kuliponya taifa!

Mfano boda boda achanganye Energies na Gin? Si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kua na kilema cha kudumu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Title ya thread ni kusuta energy drink

Afu kwenye thread yenyewe unatusutia K Vant yetu. Liiiv awa spirit aloon.... Ebooo!

Siku nyingine usimamie hoja yako...

Na ukome kutusutia Konyagi na K Vant zetu.

Hili nalo ukalitazame

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sijasuta kuhusi k vant au konyagi mkuu wangu! Nimetolea mfano na hakuna sehemu nimeponda hivyo vinywaji! Maana pia natumia sana tu!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ulichoandika hakina mantiki wala mahusiano kabisa sijaona Side effect zozote za Energy Drink ulizoandika zaidi ya pombe tu mada yakoninahusu pombe au energy drinks nivyema ukajikita na Title ya mada yako ukatoa Hints zenye akili umerukaruka tu....bodaboda asubui ti anakunya energy drink sijui atakuwa Nini hivi energy drinks inahusiano vipi na kuendesha vizuri chombo munapokuja kuzungumza kitu muandike hoja

Mantiki yako kusiwe na products nyingi za enery drink Sasa hapa hoja gani hii Ni Nini yaani
 
Mi brand yangu ni Konyagi, ni mwendo wa dry hakuna kumix energy wala tonic

Konyagi na Ice

Hayo maeneji yanapanua moyo

na Hizo spirits zingine zingine zinakata ability ya mbupu kufunction properly.
 
Back
Top Bottom