Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 2,958
- 8,987
Kipaumbele ni kodiKodi inaondoka na vijana. Jumlisha na tatizo la udhibiti hafifu wa pombe feki ndo balaa watu wanakata sana moto...unashangaa chalii ana 27 tu eti anaugua figo
Kipaumbele ni kodiKodi inaondoka na vijana. Jumlisha na tatizo la udhibiti hafifu wa pombe feki ndo balaa watu wanakata sana moto...unashangaa chalii ana 27 tu eti anaugua figo
Sasa kulikuwa na ulazima wa kumuweka My wetu hapo? Watu wivu mtaacha lini?Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Naweza sana kuji control sema sijataka tu, mbona Sasa hivi Nina siku ya tano sijanywa nikimaliza siku 30 inawezekana nikaacha kabisaAddiction ina tiba. Ni kama ulivyo uraibu wa coccaine unatibika
Hakuna mapato maana kodi wanayokusanya wanakuja kuitumia kutibu hao wagonjwa wa figo. Hakuna kitu wamefanya zaidi ya kutwanga maji kwenye kinu.mzigo au mapato?
labda bado hawajafa watu wa kutosha ili serikali ishtuke
Labda kipaunyuma 🤣Afya za watu si kipaumbele!?
Afya zipi wakati tunapambana kudhibiti ongezeko la watu?Afya za watu si kipaumbele!?
Hii shisha ndo tatizo kabisa. Ushahidi wa Kisayansi unaonesha uvutaji wa shisha prolonged unasababisha Kansa ya mapafu, utumbo, kansa ya kibofu, na kansa iitwayo nasopharyngeal aka kansa ya koo.Ndo ukweli huo. Tafuta gazeti la Mwananchi la jana Machi 15, 2024 wameandika kwa kina sana...inaonekana unywaji pombe ni tatizo sana hasa kwa Vijana, ushahidi ni ukienda wikiendi Tabata, Kitambaa, Rainbow etc
Madhara yake utayapata baada ya miaka 10-15 ijayo. Sasa hivi bado una mwili strong unaweza kupokea mapigo yoyote,Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. 🤣🤣🤣
Hapa kimoja tu ndio kinaweza kunitokea kwa dharuraPombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Mbona Hayo Matatizo Tunayaona Kwa Wazee Si Vijana?Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.
2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo
3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40
4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri
5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.
6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
- Figo na
- Moyo.
7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.
MY TAKE:
Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
Wewe mpuuzi Nguruwe ana shida gani apo?Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Mkuu naomba kwa heshima ya nguruwe, edit umtoe hapo my wetu anatupa raha sana huyu my wetu halafu haui kama pombe, utafiti.Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke