Vigezo vya kununua friji

Vigezo vya kununua friji

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
882
Reaction score
1,433
Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza.
Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro mengi.
Naomba kufahamishwa brand gani ni nzuri na itadumu .na pia vigezo gani vya kuangalia ili nisiangukie pua.
Kuna mdau alinambia niingie JUMIA ni gharama nafuu zaidi vipi hili mnalionaje
 
Salama,

kwa hari ilivyo sasa hivi, nakushauri uende kwenye mtumba, utapata friji nzuri na chenji itabaki hapo. lakini kama unahitaji kwenda dukani bs jiandae kuongeza pesa hapo.
 
Mimi niliangalia brand na ukubwa wa friji.... i bought samsung 5 years ago na bado ni jipyaaa
 
Mi Nina kitu cha Euron mwaka wa kumi huu lipo fit balaaaaaaaa, na bado lipo na good looking
 
Salama,

kwa hari ilivyo sasa hivi, nakushauri uende kwenye mtumba, utapata friji nzuri na chenji itabaki hapo. lakini kama unahitaji kwenda dukani bs jiandae kuongeza pesa hapo.
Achana na mawazo ya kizamani kununua mitumba mkuu. Hiyo laki 5 anapata Samsung safi tu kashasema hahitaji friji kubwa.
Friji used linasumbua kila Sikh kuweka gesi mm nilinunua size ya kati mwaka wa 8 sijawahi kutengeneza wala nn.
 
Sawa mkuu, pole sana kwa usumbufu huo ila mimi ninalo huu ni mwaka wa 6 linadunda.
 
Boss warrant ni miaka 4, lakini brand pendwa ni Samsung, LG, na West Point.
 
Kwa Hiyo Pesa Unapata Brand Nzuri Sana Zipo Nyingi Sana
Unapata Mr UK Nzuri Sana
Kuna Mdau Kasema Used Ina Changamoto Nyingi
Kwakuwa 450000/-
Inatosha Kupata Mpya
 
Kuna limoja lipo hom kwa bi mkubwa linapiga kaz tangu nipo darasa la tatu had leo ni GOLD STAR, sasa lina miaka 26 hakuna kujaza gesi wala nn, na linapiga mabiashara ya juice na mabarafu deile, litafute ukilikosa nambie nibonge na bi mkubwa umvue
 
ahhaha hiro kweri ni li bonge ra gufuriji
 
Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza.
Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro mengi.
Naomba kufahamishwa brand gani ni nzuri na itadumu .na pia vigezo gani vya kuangalia ili nisiangukie pua.
Kuna mdau alinambia niingie JUMIA ni gharama nafuu zaidi vipi hili mnalionaje
Nunua friji ambalo ni defrost yani lisilo tengeneza mabarafu hata likipoa halitengenezi mabarafu kwenye kuta zake.
Pia umeme muhimu friji kubwa size ya kati nyingi zinakula unit 1.3 kwa saa 24 unaona kuwa matumizi kidogo.
 
mimi nataka ninunue hili sasa sijui kama ni zuri maana mtumba naogopa umeme utakua mkubwa kwa sababu ya teknolojia ya zamani
6fc133ba7d7a01ba32c96d4a906a62ce.jpg
 
Salama,

kwa hari ilivyo sasa hivi, nakushauri uende kwenye mtumba, utapata friji nzuri na chenji itabaki hapo. lakini kama unahitaji kwenda dukani bs jiandae kuongeza pesa hapo.
Mtumba naogopa mkuu naweza kuingia cha kike
 
Achana na mawazo ya kizamani kununua mitumba mkuu. Hiyo laki 5 anapata Samsung safi tu kashasema hahitaji friji kubwa.
Friji used linasumbua kila Sikh kuweka gesi mm nilinunua size ya kati mwaka wa 8 sijawahi kutengeneza wala nn.
Asante mkuu kwa kukazia manake naogopa sana mtumba. Af nataka kuwaepuka madalali
 
Back
Top Bottom