Ofis zao wapi hawa UK na vipi kwa kutumia Jumia unaonaje ili nipunguze madalali na kubargainKwa Hiyo Pesa Unapata Brand Nzuri Sana Zipo Nyingi Sana
Unapata Mr UK Nzuri Sana
Kuna Mdau Kasema Used Ina Changamoto Nyingi
Kwakuwa 450000/-
Inatosha Kupata Mpya
Hiyo ni noma sana. itakuwa chuma cha mjerumani hicho hahaaaKuna limoja lipo hom kwa bi mkubwa linapiga kaz tangu nipo darasa la tatu had leo ni GOLD STAR, sasa lina miaka 26 hakuna kujaza gesi wala nn, na linapiga mabiashara ya juice na mabarafu deile, litafute ukilikosa nambie nibonge na bi mkubwa umvue
Hapo nahitaji maelezo zaidi.mfano ntajiaje kama ni defroist. Halfu ishu ya size ambazo hazili umeme labda kuanzia za ujazo wa lita ngapi manake me nataka nichukue ka lita 100 to 110Nunua friji ambalo ni defrost yani lisilo tengeneza mabarafu hata likipoa halitengenezi mabarafu kwenye kuta zake.
Pia umeme muhimu friji kubwa size ya kati nyingi zinakula unit 1.3 kwa saa 24 unaona kuwa matumizi kidogo.
Nyingi kwenye kitabu chake au kwa nyuma zinakuwa na stica yenye maelezo mpaka ltr 180 still umeme wa kawaida mfano langu hisense linakula 1.08 @24 hoursHapo nahitaji maelezo zaidi.mfano ntajiaje kama ni defroist. Halfu ishu ya size ambazo hazili umeme labda kuanzia za ujazo wa lita ngapi manake me nataka nichukue ka lita 100 to 110
Huko Jumia Kiongozi Sina Uzoefu Nako Ila Kama Utapunguza Gharama SawaOfis zao wapi hawa UK na vipi kwa kutumia Jumia unaonaje ili nipunguze madalali na kubargain
West point nawakubali sana hawa jamaa my brand ever